sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » CHADEMA SHINYANGA YAWAONYA MAWAKALA WAKE KUTONUNULIWA

 ALIYEKUWA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SHINYANGA KHAMIS MGEJA AKIWASILI KATIKA UWANJA WA MITUMBA SHINYANGA KATIKA MOJA YA KAMPENI ZA MGOMBEA UBUNGE JIMBO LA SHINYANGA


  Anayehitaji mabadiliko hatokuwa tayari kuona Wakala anapindisha dhamira yake lazima atatetea haki yake kwa namna yoyote ile hivyo isifikie vikatokea vitendo vya uvunjifu wa amani mara baada ya matokeo kutangazwa.


Mgeja amesema kuwa Mawakala wanaoteuliwa na chama kwenda kusimamia zoezi la kupiga na kuhesabu kura wanabeba mamilioni ya Watanzania wenye Mapenzi mema na Taifa hivyo kukubali kwao kununuliwa na CCM ni wazi watakuwa wamesaliti kundi kubwa linalohitaji Maendeleo.

 MH KHAMIS MGEJA AKIHUTUBIA WAKAZI WA JIMBO LA SHINYANGA MJINI
Mbunge kwa tiketi ya CHADEMA Patrobus Katambi jimbo la Shinyanga Mjini Alishikwa Mkono na Mgeja kuomba kura
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA mkoani Shinyanga  kimewaonya vikali Mawakala wa Uchaguzi wa Chama hicho katika uchaguzi mkuu juu ya kuhujumu chama, kwani kuteuliwa kwao na chama wamebeba dhamana ya Watanzania wengi wanaotaka Mabadiliko.

Kauli hiyo ilisemwa na aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi mkoa wa Shinyanga ambaye ni mjumbe wa timu ya Kampeni ya UKAWA Taifa Hamis Mgeja alipokuwa akizungumza na wananchi wa Mkoa huo katika Mikutano ya kampeni ya chama hicho.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply