sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » SEREKALI YA WILAYA YA KAHAMA YAOYWA KUTOWATISHA WANANCHI NA WAFANYABIASHARA WANAOUNGA MKONO CHADEMA

 Asante kahama kwa kukubali mabadiliko
 Shikamooo kahama
 Karibu mgeja Mabadiliko tumekubali hapa kahama
 Tumekuja wenye kusikiliza Mgeja Asante Mgeja kahama katika Uwanja wa soko la mkulima
Ummati mkubwa wa wakazi wa mji wa kahama wakiwa katika Viwanja vya soko la mkulima kwenye mkutano wa kampeni wa chadema
 Aliyekuwa mwenyekiti wa ccm mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja Akimtabulisha Mgombea Ubunge Jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli Akimuombea Kura kwa wananchi wa jimbo la kahama katika soko la wakulima.
 Mgeja Akihubia Maelfu ya wakazi wa jimbo la kahama katika viwanja vya soko la wakulima
 Karibu sana kaka Hayo ni maneno ya Jemes lembeli wakati wa mkutano wa kampeni mjini kahama
 Mmoja wa shabiki wa chadema Maarufu kwa Mzungu John  akiwa amejipaka mwili wake Rangi ya Alama ya chadema na Baskeli yake ambapo Anatembea nchi Nzima kuomba siku ya uchaguzi kuwe na Amani .
 Emmanuel Nzungu Alikuwa Katibu wa  umoja wa Vijana wa ccm Ngazi ya wilaya  Akihutubia wakazi wa jimbo la kahama katika moja ya Mikutano ya chama cha chadema katika soko la wakulima kahama
 Aliyekuwa Katibu Muenezi wa ccm shinyanga Vijiji Charles Shigino akihutubia mkutano wa kampeni


 Mgombea Wa Ubunge jimbo la kahama kupitia Chadema Jemes Lembeli Akihutubia wakazi wa jimbo la kahama katika soko la wakulima

 Alikuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa shinyanga Khamis Mgeja na Mgombea Ubunge Jimbo la Kahama Jemes Lembeli katika viwanja vya sokoni la wakulima


KAHAMA
Aliyekuwa mwenyekiti wa mkoa wa Shinyanga kupitia CCM aliyehamia CHADEMA Khamis Mgeja ameitaka serikali ya wilaya ya Kahama kuacha kuwatisha wananchi na wafanyabiashara wanaokiunga mkono chama hicho hali inayowezakuvuruga uchaguzi na kuhatarisha amani.

Akizungumza na wananchi katika mkutano wa Kampeni wa chama hicho kumnadi mgombea ubunge jimbo la Kahama mjini James Lembeli,Mgeja amesema kuwa hujuma inayofanywa na CCM kwa kutumia baadhi ya viongozi wa Serikali ya wilaya zimeshabainika na hazitofanikiwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply