#KUTOKAMWEMBEYANGA: Tambwe Hiza akiongea na wananchi wa Mwembeyanga Dar leo, wako tayari#Mabadiliko2015
-
-
-
-
- Wananchi wakimsubiri kwa ajili ya mkutano wa kampeni
-
-
-
Wakazi na wafanya biashara wa eneo na Ubungo wamemsimamisha Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe Edward Lowassa kuongea nae
-
-
-
-
Mgombe Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiwa na Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo Saed Kubenea.
#JijiniDar
-
-
-
Msafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA akiwa maeneo wa Ubungo akiendelea na kampeni.. Jijini Dar es Salaam.
-
-
Wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.
Wakazi wa Mwembeyanga, Temeke waliojitokeza kumsikiliza Mgombea Urais wa CHADEMA Mhe. Edward Lowassa.
-
-
Msafara wa Mgombea Urais wa CHADEMA, Mhe. Edward Lowassa akiwa katika kampeni zake Mwembeyenga, Temeke
-
-
-
Mgombe Urais wa UKAWA, Mhe. Edward Lowassa akiwasili katika viwanja vya Mwembeyanga Temeke.
-
-
-
-
-
Mnyika: Daftari la kudumu halitolewi kwa wakati ili kuruhusu goli la mkono!Mnyika: First time voters, kukaa ndani ni kosa kisheria, kukaa nje si kosa kisheria, kisheria wanakaa mita 200! Mnyika: Wapiga kura, wawe makini kuhakikisha wanapiga kura Siku ya tarehe 25 Oktoba!
-
-










