Akimnadi Godbless Lema katika viwanja vya Sinoni leo Alh 8/10/2015
Arusha imeshaamua kumuingiza Ikulu Oktoba 25, viwanja vya Sinoni
Uamue migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji ipatiwe ufumbuzi
Arusha inataka mabadiliko,rasmi ni Oktoba 25,Arusha imekutana viwanja vya Sinoni leo
Godbless Lema wakiwasili viwanja vya Sinoni leo Alh 8/10/2015
Liwake jua, inyeshe mvua,Arusha ilikuwa tayari ilimradi wamsikilize