sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WAANDISHI KAHAMA WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI YA TAALUMA YAO.

 Basi la waasani wa Bongo movie wakiwasili katika viwanja vya phathom mjini kahama kwenye kampeni za ccm
 Mgombea Ubunge Jimbo la kahama kupitia tiketi ya ccm Jumanne kishimba na mwenyekiti wa ccm wilaya ya kahama Maballa Mlolwa anacheka huku baadhi ya waasani wakiwasili eneo hilo la mkutano .
 Msaani wa Bong Movie JB akisalimiana na Mgombea Ubunge kupitia ccm jumanne kishimba wakati wa kampeni za chama hicho maeneo ya Phathom kata ya Nyasumbi
 Mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya kahama Maballa Mlolwwa akisalimia na JB msaani wa Bong Movie alipowasili katika kampeni za chama hicho
 Mgombea Ubunge jimbo la kahama wa kati Jumanne kishimba na mwenyekiti wa ccm Maballa Mlolwa .
 Mwenye Maick kati ni mbunge wa viti maalum wa ccm jimbo la solwa Hazza Hilali akimunadi Mgombea Ubunge Jimbo la Kahama Jumanne Kishimba .katika viwanja vya  Phathom kata ya Nyasubi .
 Kishimba amesema anatambua kero hizo hali iliyomfanya aweze kuchangia huduma za Afya kwa kutoa shilingi .10 kila mwezi katika Hospitali za wilaya ya Kahama na kusema kuwa endapo akipata ridhaa ya kuchaguliwa atahakikisha anashughulia kero hizo na kuziondoa kabisa 

 Baadhi ya Waandishi wa Vyombo Mbali Mbali wasikiliza sera za chama Tawala ccm kwa Mgombea wa chama hicho jumanne kishimba
 Katika mkutano huo uliofanyika jana mgombea ubunge katika jimbo la Kahama kwa tiketi ya CCM Jumanne Kishimba amesema kwa muda mrefu wananchi wa jimbo la Kahama wamekuwa wakitatizwa na kero za uhaba wa Dawa Hospitalini,Miundombinu ya Barabara,Umeme,Maji katika baadhi ya maeneo ya kata za mjini mbali na kuwa na maji toka ziwa Victoria

 Baadhi ya watoto walifurika kuangali wasani wa Bongo Movie katika kampeni za chama cha ccm eneo la Phathom kata ya Nyasubi
 Mbunge wa Viti maalumu alimaliza Muda wake Hazza Hilali Akimuombea kura Mgombea Wa ccm Jimbo la kahama Jumanne Kishimba .
 Baadhi ya wakazi wa kata ya Nyasubi wakisikiliza Mgombea wa ccm jimbo la kahama Jumanne kishimba
Moja wa kanda wa ccm akiwa ameva Tsherti kuwa  ccm ndiyo habari ya mjini 




Waandishi wa habari wilayani Kahama mkoani Shinyanga wametakiwa kuitumia vyema taaluma yao kwa kutoandika habari za uongo na uchochezi kwani kufanya hivyo ni kuhatarisha amani katika jamii.

Hayo yamesemwa jana na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Kahama Mabala Mlolwa wakati akizungumza na wananchi wa kata ya Nyasubi kwenye mkutano wa Kampeni za mgombea ubunge kupitia chama hicho Jumanne Kishimba.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply