sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » HIVI NDIYO MBUNGE MTEULI WA CCM JIMBO LA KAHAMA AKIPONGEZWA NA WAPIGA KURA WAKE IMARUFUU KWA SASA DAGOTE WA KAHAMA

Baadhi ya wanachama wa ccm kata ya nyasumbi wakipongeza Mbunge wao mteuli wa jimbo la kahama mjini jumanne kishimba kwenye kijiwe cha mti mpesa
 Nifuraha TU ya ushindi
Mambo safi wakisherekea ushindi katika viwanja vya mti pesa
Baadhi ya makanda wa CCM wakiwa katika viwanja vya Mti Pesa
Baadhi ya wa Wadau wakipata vitu baada ya Ushindi wa mbunge wa jimbo la kahama Jumanne kishimba
NI furaha TU
Hii Ndiyo hali ya Nyama Choma kwa ajili ya Mbunge Mteuli Jumanne kishimba katika Viwanja Vya Mti Pesa
Baadhi ya wanachama wa ccm wakijipongeza kwa Ushindi mkubwa
Baadhi ya makanda Wa ccm wakipokea Mbunge Mteuli Jumanne Kishimba Katika Viwanja vya Mti pesa mjini kahama mwenye sharti la mistali ya punda Milia
Mbunge Mteuli Jumanne kishimba mwenye sharti la mistali  Akiwasili Eneo la Uwanja wa Mti pesa mjini kahama kwa ajili ya kupongezwa kwa Ushindi ..
Hongera kwa Ushindi
Mzee safi sana Karibu
Hapa ni kunywa kwenda Mbele Eneo la  Mti pesa mjini kahama kwa Mbunge wao .
Mh Mbunge Mteuli Jumanne kishimba Mwenye sharti la mistali akiangali  wana CCm wakifurahi Ushindi Wao .
Mh  Mbunge  Mteuli wa jimbo la kahama kupitia CCM jumanne kishimba Akibidhiwa Clent la moja la bia kwa Ushindi
Hapa ni kula na kunywa Tu Dagote wa kahama
Mbunge Mteuli Jumanne kishimba mwenye sharti la mistali akionyesha kidole kati akiwa na wapiga kura wake wa kata ya nyasubi katika viwanja Vya Mti pesa
Hapa ni Ushindi ni kunywa na kula
Kula nyama sana ni furaha
NI Furaha tu Mbunge Mteuli wa ccm jumanne kishimba akila nyama za mbuzi katika viwanja vya Mti pesa
Tuna kunywa Tu kwa ushindi
Furaha
 
Kahama,

Katika Hali isiyokuwa ya kawaida  baadhi ya wakazi wa kata ya nyasumbi ,wilayani kahama mkoani shinyanga wafanya sherehe kubwa ya kumpongeza Mbunge  wao Mteuli Jumanne kishimba kwa kupewa jina la Dagote Wa kahama.

Aidha katika hali ya kushangaza wananchi hao walifanya sherehe hiyo fupi katika viwanja vya Mti Pesa kwa kuzawadia vitu mbali mbali vikiwemo clent moja la bia kwa ushindi huu.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply