sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » LEMBELI AKANUSHA KUMILIKI MTANDAO WA TWITTER UNAOISHAMBULIA SERIKALI YA RAIS MAGUFULI

 Alikuwa mbunge wa jimbo la kahama Jemes Lembeli kwenye Moja ya mikutano ya kampeni Mjini kahama
 
 
KAHAMA
Lembeli ameiambia Dunia Kiganjani Blog leo kwamba taarifa zote zinazotolewa kupitia akaunti hiyo yenye jina la "James Lembeli" na picha yake akiwa na aliyekuwa mgombea urais wa Chadema kupitia mwavuli wa UKAWA Edward Lowassa ni za uongo.
 
Amewataka watu wanaoguswa na taarifa hizo kuzipuuza, huku akiwaonya waliofungua akaunti hiyo waache mara moja na kwamba akiwabaini atawashitaki kwa mujibu wa sheria.

Lembeli ameliomba jeshi la polisi kupitia kitengo cha Intelligensia kufanya kazi kwa mujibu wa sheria ya makosa ya mitandao kumsaka mtu aliyefungua akaunti hiyo na kumtia nguvuni.

Hata hivyo Lembeli amesema hajawahi kujiunga na mtandao wowote wa kijamii ikiwemo wa Twitter na wala hana mpango wa kujiunga na mitandao hiyo 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply