KIVUKO CHA KILOMBERO KIMEZAMA USIKU WA LEO

 Kwenye taarifa hiyo Waziri Mhagama amesema watu 30 wameokolewa kati ya watu 31, jitihada zinaendelea kuokoa watu pamoja na mali.
  Kivuko cha Kilombero kimezama jana usiku kikiwa na magari na abiria, watu 30 wameokolewa kati ya 31, uokozi unaendelea.
 baadhi ya waliokolewa na baadhi ya mitumbwi ya wavuvi
ni nguzo za ujenzi wa daraja la mto kirombero ujenzi wake ukiwa hunaendelea licha ya ajali hiyo kutokea hapo usiku wa jana .
KIVUKO CHA KILOMBERO KIMEZAMA USIKU WA LEO  KIVUKO CHA KILOMBERO KIMEZAMA USIKU WA LEO Reviewed by Mohab Dominic on 02:14 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.