KUTOKA DODOMA KUMEKUCHA TENA ?????????????


 Baadhi ya Wabunge wametoka nje ya Bunge baada ya Naibu Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson kuzuia Wabunge wasiendelee na kuomba mwongozo, Wabunge hao wakaamua kutoka huku Bunge hilo likiendelea kujadili hotuba aliyotoa Rais Magufuli wakati wa ufunguzi wa Bunge hilo.

Post a Comment

Previous Post Next Post