|
Mgeni rasmi katika kikao hicho maalum,Colnel Mwasote
ambaye ni Afisa kutoka idara ya kilimo Mifugo na Ushirika katika Halmashauri ya
wilaya ya Biharamulo aliwataka Viongozi hao kuhakikisha wanaielimisha jamii
kuhusu Mikopo |
Meneja wa asasi inayojihusisisha na akipa na
mikopo wilayani humo jitihada saccos Lazaro Kasigara wakati akizungumza na
viongozi kutoka katika vitongoji,Vijiji na kata zote za wilaya Ngara
|
Wazilishaji wa jitihada saccos wilayani ngara na pia ni diwani msaafu kata ngra mjini |
|
Baadhi ya watumishi wa jitihada saccos wakisikiliza hotuba ya mgeni rasmi kwenye kikao maalum cha wanachama na wajumbe wa jitihada Saccos |
Mgeni Rasmi Colnel Mwasote
ambaye ni Afisa kutoka idara ya kilimo.
|
wajumbe wa saccos wakisikilza maada muhimu juu ya kupata mikopo ya kilimo |
|
wajumbe wa jitihada saccos |
Baadhi ya wajumbe wa jitihada saccos wilayani ngara wakisikilioza hotuba ya mgeni juu ya kuweka fedha zao katika saccos salama .
|
Wajumbe wa saccos jitihada wakisiliza hotuba ya mgeni rasmi katika ukumbi wa kanisakanisa la kianglikana Lusahunga
NGARA
VIONGOZI wa serikali za
mitaa wilayani biharamulo Mkoani kagera wametakiwa kuwaelekeza wananchi kujenga
tabia za kuhifadhi fedha zao katika benki na taasisi nyingine za kifedha
zikiwemo asasi za kuweka na kukopa.
Rai hiyo imetolewa na
Meneja wa asasi inayojihusisisha na akipa na mikopo wilayani humo JITIHADA
SACCOS . Lazaro Kasigara wakati akizungumza na viongozi hao kutoka katika
vitongoji,Vijiji na kata zote za wilaya hiyo katika mkutano uliofanyika January
kwenye ukumbi wa kanisa la kianglikana
lusahunga.
Katika mkutano huo
uliowahusisha wenyeviti wa Vijiji vyote 80 na kata 17,Kasigara aliwataka
kuwaelekeza wananchi kufungua akaunti kwenye benki mbali mbali n a kujiunga na
Vikundi vya kuweka na kukopeshana fedha ambazo zitawasaidia katika kuedesha
shughuli mbali mbali za maendeleo ikiwa ni pamoja na kupata mitaji ya kufanyia
biashara.
|
| | |
No comments: