sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WANANCHI WA MTAA WA IGOMELO WATAKIWA KUWACHA KUJENGA KWA UTARATIBU

 Afisa Ardhi  halmashauri ya mji wa kahama Joackimu Henjewele akiongea na wakazi wa mtaa wa Igomelo  kata ya  Malunga  juu ya kufata utaratibu wa ujenzi bora katika kata hiyo ambapo baadhi ya watu wamekuwa wakivamia maeneo hayo  bila ya kupimwa na maafisa ardhi .

 Baadhi ya wakazi wa  mtaa wa Igomelo kata ya malunga wakisikiliza afisa ardhi juu ya upimwaji wa viwanja na idara ya ardhi katika maeneo ya mtaa huo .

 Afisa Ardhi Jockimu Henjelewa akionyesha hati ya kupata kiwanja jinsi kinavyokuwa na kwa kufata sheria za ardhi na kuondoka na mataperi wa viwanja .

 wakazi wa mtaa wa Igomelo wakisikiliza afisa ardhi wa halmshauri mji wa Kahama hayupo pichani .
 Baadhi ya viongozi wa mtaa wa Igomelo kata ya malunga wakiwa na mwenyekiti wa mtaa wa igomelo mwenye tisheti nyekundu  Agustino mabula.

 Mtendaji wa kata ya Malunga Cosmas  Bukango, akifanua jambo kwa wakazi wa mtaa wa Igomelo juu ya uvamizi wa viwanja bila ya kufata utaratibu wa ardhi .

wakazi wa mtaa wa Igomelo wakisikiliza kwa  makini  juu  ya upimwaji wa viwanja katika halmashauri ya mji wa Kahama

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply