By: Mohab Dominic
on 00:10
/
|
Jeshi la Polisi kanda Maalumu Dar, limepiga marufuku
maandamano ya Vijana wa CHADEMA kwenda Ikulu kwa lengo la kushinikiza TBC
ionyeshe Bunge LIVE.
Kamanda Sirro alisema kuwa hakuna taarifa na pia hakuna uthibitisho kuwa
maandamano hayo yatapokewa na Rais Magufuli.
Pia, Kamanda Sirro alieleza kuwa BAVICHA hawakuanisha barabara ambazo
wanatarajia kutumia katika maandamano hayo. “Siku hiyo sio nzuri sana kwa
sababu ni siku ambayo watu wanakuwa kazini.
Ni siku ambayo
wengi watataka kutumia barabara hizo kwa ajili ya huduma za kijamii. Na kwa
sababu kuna option nyingine ya kuweza kupata suluhu hiyo, nisema tu kwamba
maandamano hayo yamepigwa marufuku,” alisema.
umeongea mpendwa hapana tunaweza
kuangalia hilo si lazima iwe live. Sijui unanielewa ndugu. Maandamano yananguvu
ya kubadilisha mawazo ya serikali ikiwa sikivu. Raisi ni muhimil mwengine wa
serikali hii hoja ilikua bungeni so its better kutafuta muafaka huu na mtu wa
moja kwa moja wa bungeni na hapo naongelea wazir wa habari na kumfuata raisi
juu ya hoja hii ni below his paygrade... Kuna watu walioko chini yake wanaweza
kulitatua hili. Mamlaka yake ni kubwa mno kufuatwa kuhusu swala la tbc kuonesha
bunge live. Bawacha kua na advantage ya kua dsm ambapo mihimili miwili ya serikali
ipo isiwe sababu ya kupeleka hoja hii kwa raisi. Sijaona uhalali wake kwenda
kwakwe direct.
|
Tag:
matukio
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
No comments: