Baadhi ya viongozi wa serikali wakiwa katika viwanja vya makahama katika kilele cha siku ya sheria nchini |
Shekhe wa wilaya ya kahama Omary Damuka akitoa dua kwa ajili ya kuunza mwaka wa kimahakama nchini katika viwanja vya mahakama mjini kahama |
MH hakimu Latiifa ambaye alikuwa ni mc katika shunghuli hizo wakishilikiana na Mh Bantega katika viwanja vya mahakama |
kiongozi wa Dini mchungaji Patrick kulije akioa Dua kwa ajili ya kuombea Dua kwa kuanza mwaka wa kimahakama |
Baadhi ya wadau wa sheria kahama pia ni waandishi wa habari wakiwa katika viwanja vya mahakama kwa ajili ya kilele cha siku ya sheria na kuanza mwaka wa kimahakama mwaka huu . |
MH hakimu mkazi mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya kahama Evodi Kryaruzi akelekea katika uwanja wa sherehe za siku ya sheria katika viwanja vya mahakama ya wilaya . |
Shekhe wa wilaya Omary Damuka wakiwasili eneo la sherehe ya siku ya sheria huku akipokelewa na Mh EVa kassa katika viwanja vya mahakama . |
Mkuu karibu sana hayo ndiyo maneno ya waheshimiwa makakimu wa mahakama ya wilaya ya kahama wakati wa kumkaribisha mgeni rasmi ambaye ni mkuu wa wilaya kahama vita kawawa. |
Karibu mkuu wa wilaya ni maneno ya Mh Evelyne Vedasto katika viwanja vya mahakama mjini kahama |
Karibuni Mashekhe Wetu |
Mkuu wa wilaya ya kahama mwenye suti nyeusi akiongozana na hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya kahama Evodia Kryaruzi kwenda kwenye viwanja vya mahakama . |
Mgeni rasmi mkuu wa wilaya akiongozana na hakimu mfawidhi wa makama ya wilaya ya kahama Mh Evodia Kryaruzi . |
Baadhi ya Wadau wa siku ya sheria |
Mh Evodia Kryaruzi akitoa hotuba na maudhiwi ya siku ya sheia na kuanza mwaka wa kimahakama mwaka huu na kusema kuwa kauri mbiu ya mwaka huu ni Huduma za haki kumlenga mwananchi wajibu wa mahakama. |
Baadhi ya wanafunzi wa shule ya msingi korongwe wilayani kahama wakisikiliza Hotuba ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa kauli mbiu ya kuanza kwa mwaka wa sheria |
Baadhi ya Wazee wa mahakama wakiwa katika viwanja vya mahaka wakisiliza hotuba ya mgeni rasmi mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa |
Mkuu wa polisi wilaya ya kahama Georger kyando akitoa ufafanuzi juu ya kutumia sheria vizuri |
Mwalimu wa shule ya msingi korongwe wakisikilza hotuba ya Hakimu mfawidhi juu ya ujumbe wa siku ya sheria |
Wazee wa Mahakama |
Wadau wa sheria kahama |
Wadau wa sheia |
Baadhi ya waandishi wa Radio kahama fm na jembe Fm ya mwanza wakiwa maki ni kuandika habari juu ya siku ya sheria |
Kamishina wa Idara Ya uhamiaji wilaya ya kahama Zakaria Misana akitoe maelezo juu ya sheria ya kuajili wangeni kinyume na sheria za nchini . |
Mh Hakimu mkuu mfawidhi Hermes Byarugaba wenye suti wakisikiza hotuba ya mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa |
Meneja wa NSSF Mkoa kahama Omary Mziya akisikiliza Hotuba ya mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama |
Viongozi |
Rahma Saidi Mdau wa sheria kahama |
Mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa |
Kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya kahama katika picha ya pamoja siku ya sheria ambapo mahakama inaza . |
Waheshiwamiwa Mahakimu wa wilaya ya kahama wakiwa katika picha ya pamoja katika siku ya kuanza mwaka wa mahakama nchini Tanzania |
Picha ya pamoja ya watumishi wa mahakama na mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa mwenye suti na Tai |
No comments: