Katibu mkuu wa CUF Maalim SEIFAmesema katika vikao vya kutafuta ufumbuzi wa
mkwamo wa kisiasa Zanzibar uliofanywana Rais Ali Mohamed shein walikubaliana
kuwa Tumeya uchaguzi ya Zanzibar (NEC)kuwa
Haifa Tena kusimamiauchaguzi na kujadilianakuhusu Hamna ya kupata tume nyingine
inayoweza kufanya kazi hiyo alisema katibu mkuu maalimu Seif.