sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » CCM KAHAMA WADHIMISHA KWA KUFANYA USAFI KATIKA HOSPITAL YA WILAYA

 Baadhi ya makanda wa ccm wakiwa ofisini kwa mganga mfawidhi wa wilaya kwa ajili ya kuanza kufanya usafi ambapo chama cha ccm wilaya ya kahama kina hadhizimisha kwa kufanya usafi na huduma zingine za kuangalia wagonjwa  katika miaka 39 ya kuzaliwa kwa chama hicho 

 Mwenyekiti wa ccm wilaya ya kahama mwenye sharti la ccm Mabala Mlolwa  akiwa na mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa wakati wa kufanya usafi katika madhimisho ya miaka 39 ya kuzaliwa kwa cha hicho.

 Mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa akifanya usafi katika hospital ya  wilaya ya kahama katika madhimisho ya miaka 39 ya ccm ambapo chama kiliamua kufanya usafi hapo .

 Katibu wa ccm wilaya ya kahama Alexendria katambi akiwa ameshika fyekeo la majini katika hospital ya wilaya ambapo ccm iliadhimisha kwa kufanya usafi katika hospital hiyo.

Katibu wa ccm wilaya kahama akiongea na muandishi wa habari wa Radio kwizera juvetus juvenali  katika maeneo ya hospital ya wilaya kahama ambapo ccm waliadhimisha miaka 39 kwa kufanya usafi katika hospital hiyo.

  Wanachama wa ccm wakifanya usafi katika hospital ya wilaya .

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa kahama pia ni Diwani wa kata Nyasumbi Abeil Shija akifanya usafi katika hospital ya wilaya ya kahama ambapo ccm wilaya iliadhimisha kwa kufanya usafi hospial hapo

 Usafi







 Katibu mutadhari wa ccm Veronica H  Hangwa  akiwa akiwa anafangia eneo la kupitia wangojwa (Korindo )kwa wanapita wangojwa,ambapo.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply