sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » BARAZA LA KINAMAMA BAWACHA CHADEMA WATOA MISAADA KITUO CHA WATOTO WALEMAVU WA NGOZI SHINYANGA

Mwalimu kiongozi Francis Peter wa  kituo cha watoto walemavu wa ngozi Buhangija (Albino)Akiongea na viongozi wa umoja wa Baraza la  kinamama   Bawacha walipofika kituoni hapo kutoa misaada mbalimbali  na mbunge wa viti maalum salome makamba

 Mwenyekiti wa Baraza la umoja wa kinamama Bawacha mkoa wa shinyanga Zenna Ghulam mwenye kilemba kichwani na alishika shafu ni mbunge wa Viti Maalum chadema  Salome makamba

Baadhi ya watoto walemavu wa ngozi Albino Wakisikiliza Mgeni Rasmi Mbunge wa Viti Maalum Salome Makamba Chadema .

Mh Bunge wa Viti maalum  Chadema  mkoa wa shinyanga Salome Makamba akisisitiza wazazi kuwacha tabia ya kuwakimbia watoto wao bila ya kuona ni kupunguza mapendo kwa mzazi

Mh Salome akisisitiza jambo la usalama la watoto ambao wamekuwa wakiwa bila ya kuwa na malezi ya wazazi wao huku baadhi ya viongozi wakisikiliza kwa makini meza mkuu 

Baadhi ya watoto walemavu wa ngozi( Albino) wakisikiliza Mh Salome huku wengine wakiwa wamelala chini kwa ajili ya usikivu

Mmoja wa walemavu wa Ngozi Albino Akisikiliza Hotuba ya Mgeni Rasmi Mbuge wa Viti maalum chadema  Mh Salome Makamba kwenye Ukumbi wa shule hapo

Baadhi ya wanafunzi ambao wapo kituo cha kulea watoto wenye ulemavu wa ngozi wakisikiza mgeni Rasmi Mbunge wa Viti maalumu Chadema Salome Makamba Alipowatembelea kituoni hapo.

Mh Salome Akisisitiza jambo la Huruma kwa kinamama

Baadhi ya viongozi wa Bawacha wakimsikiliza Mgeni Rasmi Hayupo pichani

Mwalimu Mkuu Kiongozi Peter Francis Akitoa shukrani kwa Mbunge Wa Viti Maalum Chadema Salome Makamba kwa Msaada wao

Moja wa kijana Masunga Maduhu Mlemavu wa Ngozi Akitoa Shukrani kwa niaba ya wezake kwa msaada walipewa na Baraza la Bawacha Mkoa wa shinyanga .

Masunga Maduhu ni moja kati ya walemavu wa Ngozi Akipongeza Mbunge Salome Makamba kwa Msaada wao baada ya kuwakabidhi misaada hiyo

 Masunga Maduhu Akisalimia Meza Kuu baada ya kutolewa misaada kwenye Kituo hicho.

 Mh Mbunge  Salome makamba akiwa na baadhi ya watoto wenye ulemavu wa ngozi katika picha ya pamoja

Mwalimu kuu kiongozi Peter Francis,Mbunge salome makamba akiwa amebeba mtoto kati ni mwenyekiti wa baraza la Bawacha mkoa wa shinyanga Zenna Ghulamm kulia ni mwalimu mkuu msaidizi.

Mwalimu kuu kiongozi Peter Francis na Mbunge Viti maalum Salome makamba wakibadilisha mawanzo nyuma ni mwenyekiti wa Bawacha mkoa Zenna Ghulamm.

Karibuni Tena


Ofisi za chadema mkoa wa shinyanga

picha ya pamoja Mh  Mbunge Viti maalum Salome makamba kati na viongozi wa Baraza la Bawacha


 shinyanga 

 Mbunge Salome Makamba amewataka wanawake kuwa na uchungu na watoto wao huku akilaani vitendo vya kuwatelekeza katika kituo hicho hali ambayo amedai ni kuwanyima haki yao ya msingi ambayo ni malezi ya mzazi.

Hata hivyo ameahidi kupigania haki za walemavu hao kokote atakapokuwa kwa nafasi yake kama mbunge ikiwa ni pamoja kulipeleka katika ngazi za juu za serikali ambayo kwa nafasi yake pia  itahakikisha kero zinazowakabili watoto katika kituo hicho na katika jamii zinakoma.

Awali akimkaribisha Mbunge Makamba mwenyekiti wa Baraza la wanawake wa CHADEMA BAWACHA Manispaaa ya Shinyanga Zena Gulam amedai kuguswa na changamoto hizo lawama akizipeleka kwa wanawake ambao ndio walezi wa watoto kuwatekelekeza watoto haokatika kituo hicho  kwa kigezo cha Ulemavu huku akiiomba serikali kuchukua sheria mathubuti kwa wale wataobainika kutekeleza vitendo viovu dhidi ya walemavu hao.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply