![]() |
Chadema Kutakuwa na mkutano wa hadhara leo Jumapili 13/3/2016,uwanja wa Furahisha |
![]() |
Wananchi wa Mwanza wakiwa wanaendelea kuwasili katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza muda huu |
![]() |
Umati wa wafasi wa chadema wakiwa katika viwanja vya furahisha jiji mwanza |
![]() |
Freeman Mbowe akiwasili viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, leo Jumapili 13/3/2016. |
![]() |
Mhe. Edward lowassa akiwasili viwanja vya Furahisha jijini Mwanza, leo Jumapili 13/3/2016 |
![]() |
Meza Kuu ya Viongozi wakiwa wameshawasili katika viwanja vya Furahisha jijini Mwanza Machi 13/2016 |
No comments: