sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WEZI WAVAMIA NYUMBA KWA AFISA ARDHI KAHAMA ASUBUHI NA KUFANYA MAUJI YA SHEMEJI YAKE KWA KISU

 Anges Kazinja akiwa Hospital akipatiwa matibabu muda mfupi alipoteza maisha baada ya kuvuja damu  kwa wingi .

Nyumbani kwa Afisa Ardhi wa kahama Yusufu Luhumba ambapo wezi walivamia majira ya asubuhi na kumchoma kisu Anges kazinja wakati akifua nguo nyumbani kwao.

hii ndiyo nyumba ambayo wezi  walipovamia  asubuhi nyumbani kwa Yusufu luhumba 

Hili ndiyo eneo ambalo marehemu Anges alianguka wakati anaomba msaada kwa majira mama Asha akionyesha eneo ambalo anges nguvu zilimuishia na kuanguka chini.

Nguo ambazo marehemu Anges alikuwa akifua nyumba kwa shemeji yake Yusufu luhumba 

Baadhi ya majira wa eneo lilotokea tukio la mauji wakiwa katika wakati mgumu wasijue la kufanya

Vyombo ambavyo Anges kazija alikuwa akivitumia kufua nguo kwenye uwa wao ndipo wezi walivamia eneo hilo

Mmoja ya Mtuhumiwa wa wizi na mauji Nestory maganga akiwa na wezake ambao waliwenza kutoloka   muda mfupi tu baada ya jeshi la polisi kufika eneo la tukio nyakato mjini kahama

 Mtuhumiwa Nestory maganga akiwa hospital ya wilaya ya kahama baada ya jeshi la polisi kuokolewa na jeshi la polisi na watu wenye hasira kali .


Baadhi ya wananchi waliofika hospital ya wilaya ya kahama kuliona hilo lituhumiwa wa mauji wa Anges kazinja kwa kumchoma na kisu.

Mmoja ya Mtuhumiwa wa mauji ya Anges kazinja likiwa hospitali ya wilaya likisubiri kupata matibabu baada ya wananchi wenye hasira kali kupiga kwa mawe na fimbo.


Kahama 

 Mwanamke moja mkazi wa kata ya nyasumbi wilayani kahama mkoani shinyanga Agnes kazinja (18)Auwawa kwa kuchomwa na kisu ubavu wa kushoto na watu wanasadikiwa kuwa ni wezi majira ya asubuhi saa 3.45.nyumbani kwao kwa lengo la kufanya uharifu.

Akiongea ofisi kwake kaimu kamanda wa jeshi la polisi Dismas kisusi  ofisi kwake alisema kuwa tukio hili limetokea majira ya asubuhi saa 3.45 maeneo ya  nyakato kata ya nyasumbi wilayani kahama,nyumbani kwa mfanyakazi wa idara ya Ardhi yusufu Luhumba.

 Aidha kamanda wa polisi alizidi kusema kuwa  msichana huyo alikuwa kwa Dada yake ametokea shinyanga kwa ajili ya mapumziko, ambapo alikuwa amemaliza kidato cha nne mkoani shinyanga mwaka jana.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply