sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » BAADHI YA WAKAZI WA JIJI LA DAR WAMZIKA NGULI WA DANCE NDANDA KOSOVO

Hivi ndivyo watoto wa marehem Ndanda kosovo wakiweka mataji ya maua kwenye kaburi la baba yao 
Gari Ambalo limechukua mwili wa nguli wa Dance Ndanda kosovo toka chumba cha kuhifadhia maiti   

Baadhi ya wananchi walifika nyumba kwa Ndanda kwa ajili ya kushiriki mazishi 


Msafara kwenda kwenye Nyumba yake ya mwisho hapa Dunian 

Umati wa waombolezaji Wakiwa Makaburini 

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda na Le Mutuz

Hivi ilikuwa  baadhi ya kinamama kama hunavyona.wakishindwa kujizuhia kutokana na majozi ya mpendwa wao.

Moja wa mke wa marehemu akipita mbele ya jeneza la mume wake akiwa ameshikiriwa 

Moja wa jamaa wa Nguli wa Dance Ndanda Kosovo mama huyoambaye alishiwa na nguvu baada ya mwili wa marehemu nyumbani kwake  

Baadhi ya kinamama wakilia kwa uchungu baada ya kuondokewa na kipenzi chao 

Gari ambalo limebeba mwili wa Ndanda kosovo ukitokea  hospitakl ya Taif  Muhimbili 

Picha ya kuweka kumbukumbu ya marehemu Ndanda Kosovo

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Paul Makonda
picha  kwa hisani  millardayo 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply