sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » POLISI KAHAMA YAPAMBANA NA KUUWA MAJAMBAZI MATATU YAKIWA NA SILAHA ZA KIVITA


Hizi ndizo siraha zilikuwa zitumiwa na majambazi mjini kahama.ikiwepo simu ya mkononi na risasi zaidi ya sitini 

Mkuu wa wilaya ya kahama Vita kawawa na mbunge wa jimbo la kahama jumanne kishimba wakiwepewa maelezo na askari waliokuwepo kwenye tukio la ujambazi jana usiku ambapo majambazi matatu na mfanyabiashara moja.

Bomu moja la mkono na risasi zaidi ya 60 zilikutwa kwa majambazi hayo kama jinsi zinavyonekana hapo

Bunduki aina ya Uzu ngun na magazini mbili na visu vya kijeshi ambavyo vilikamatwa na majambazi hayo ambapo mkuu wa wilaya vita kawawa akiwa hayupo  pichani.

Visu na sira kali za kivita aina ya Uzun gun  
POLISI KAHAMA YAPAMBANA NA KUUWA MAJAMBAZI MATATU YAKIWA NA SILAHA ZA KIVITA.

Jeshi la Polis Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga limefanikiwa kuwaua majambazi  watatu waliokuwa wamevamia katika Duka la mfanya biashara mmoja kisha kumpiga risasi na kumuua huku yakimuua mpita njia mmoja.

Tukio hilo limetokea April 12 mwaka huu majira ya saa 12 jioni katika Mtaa wa Barabara ya Tabora mjini humo ambapo Majambazi hao wakiwa na silaha zamoto zikiwemo Bunduki mbili na Mabomu ya Kurusha kwa mkono.

Taarifa ya jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga iliyotolewa na kaimu kamanda wa Jeshi hilo ACP Dismas Kisusi kwa niaba ya Mkuu wa jeshi hilo Mika Nyange imeeleza kuwa mfanya biashara aliyevamiwa na kuuawa alifahamika  kwa jina la  Emanuel Mkumbo aliyepigwa risasi na majambazi baada ya kukaidi agizo la kutoa patia fedha walizotaka.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply