sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MILLIONI 900 ZA UJENZI WA MAKAO MAKUU YA MSALALA ZAYEYUKA

 Mkuu wa Mkoa wa Mwanza John mogella pia ni kaimu mkuu wa mkoa Shinyanga akitoa maelekezo ya kucheleshwa kwa Makao Makuu ya Halmashauri ya msalala kwenye kikao cha baraza la  Madiwani 

Alishika shavu ni mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri ya msalala Patrick kurangwa akisikiliza maelekezo ya mkuu wa mkoa wa mwanza na kaimu mkuu wa mkoa wa shinyanga John Mogella kwenye ukumbi wa Halmashauri hiyo.

 Muweka hazina wa Halmashauri ya Msalala akitoa maelekezo ya Mkanguzi wa mkuu wa hesabu za serikali CAG katika ukumbi wa Halmashauri ya msalala mbele ya kaimu mkuu wa mkoa wa Shinyanga John Mogella 

 Baadhi ya madiwani wa Halmashauri ya msalala wakisikiliza Maelekezo toka kwa kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga John Mongella  

 Mkanguzi wa Ndani wa Halmashauri ya msalala akisoma Tarifa ya Ndani ya hesabu mbele ya kaimu mkuu wa mkoa wa shinyanga John Mogella

 Baadhi ya wafanyakazi wa Halmashauri ya msalala wakisikiliza Maelekezo toka kwa kaimu mkuu wa Mkoa wa Shinyanga John Mogella kwenye kikao cha baraza la madiwani juu ya kuchelewashaji wa halmashauri hiyo 

Wajumbe wa kamati ya Ulinzi na usalama ya wilaya ya kahama wakisikiliza agizo la kaimu mkuu wa mkoa wa shinyanga juu ya kuharakishwaji wa kuhaza kwa makao makuu ya Halmashauri ya msalala 

Baadhi ya wakuu wa idara mbalimbali za Halmashauri ya msalala wakisikiliza maelekezo toka kwa kaimu mkuu wa mkoa wa shinyanga John Mogella 

Kahama

SAKATA la ujenzi wa Mkao Makuu ya Halmashauri ya Msalala Wilayani Kahama Mkoani Shinyanga limechukua sura mpya baadaya  ya fedha zilikuwa zimepangwa kwa ajili ya ujenzi wa makao makuu hayo kubainika kuwa zimetumika kinyume na utaratibu.

Hayo yalibainika jana katika kikao maalumu cha baraza la madiwani kilichohudhuriwa pia na Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga John Mongella kilichokaa katika ukumbi wa halmashauri hiyo kwa lengo la kukagua taarifa ya mkaguzi na mdhibiti mkuu Wa hesabu za serikali( CAG)

Mongella alisema kuwa ukiangalia taarifa ya mkaguzi mkuu wa serikali utagundua kuwa fedha hizo kiasi cha shilling Millioni 900 kuwa zilitumika katika matumizi katika matumizi mengine kinyume na maelekezo ya ujenzi wa Makao Makuu ya Halmashauri ya Msalala.

“Kumbe mnavyovutana katika vikao vyenu kuhusu ujenzi wa makao makuu yenu hata serikali ingewaruhusu kuanza kwa ujenzi hata fedha za kuazia mlikuwa hamna hata kama mnasema mmeanza kuzirudisha taratibu na kwa sasa mna kiasi cha shilling Millioni 368”alisema Kaimu Mkuu wa Mkoa Mongella.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply