WAUNZA MATAIRI KAHAMA WAZUA VARANGA KISA MAMA LISHE KUWA NA WAREMBO WAZURI

Wahudumu wa kibanda kimoja cha mama lishe maarufu kwa jina la mama K wakiwa katika shughuli zao kabla ya vurumai kuanza.

Weee wachetu chenzea warembo wa mama k  

Wakinadada wa kibanda maarufu cha mama k eneo la ccm kahama mji 

Moja ya vijana ambao ufanya kazi zao eneo hilo wakiwa katika wakati kurushiana maneno 

 Ni Acheni muone ndiyo maneno ya jamaa huyo baada ya kushikwa na hasira ya kutolewa lugha ya matusi na kijana moja 

 Niacheni tu 

Baaadhi ya maeneo ya biashara zao za matairi zikiwa nje eneo la ccm kahama mji 

Usinishike niacheni banaaaa nionyeshe mtu kazi hapa 

 Mimi sipo kambisa hapo ni moja ya jamaa walikuwepo katika sekeseke hilo 

 Mimi hawa vijana wanazadharau sana wacheni niwape Adabu 

Post a Comment

Previous Post Next Post