sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » POLISI KAHAMA WASABARATISHA MKUTANO WA CHADEMA KAHAMA

 Mwenyekiti wa chadema wilaya ya kahama juma Protas akiwa juu ya jukwaa la Mkutano wa chama hicho kabla ya viongozi wa kitaifa  wa chama hicho. 

Baadhi ya wanachama na wafasi wa chama hicho wakiwa katika viwanja vya CDT wakisubiri viongozi wa kitaifa kuwasili katika viwanja hivyo 

 Waandishi wa habari wa Vyombo mbali mbali  wakiwa katika uwanja wa CDT wakisubiri mkutano wa chadema 

ANGALIA MATUKIO YA  PICHA UWANJA WA CDT MJINI KAHAMA 




















KAHAMA 

JESHI la Polisi Wilayani Kahama kwa kushirikiana na lile la Mkoani Shinyanga jana limeweza kuwasambaratisha kwa kutumia mabomu ya Machozi  na gari la maji ya washa wafuasi  na Viongozi wa Juu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) waliokuwa wakitaka kufanya mkutano mjini hapa kinyume cha Sheria.

Tukio hilo lilitokea majira ya saa saba za mchana katika kiwanja cha CDT kilichopo mjini hapa wakati viongozi hao wa ngazi za juu wa Chama hicho waliopokuwa wakitaka kufanya mkutano wa kufungua kampeni ya operesheni okoa demokrasi kanda ya ziwa.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply