sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » PILIPIL HOHO ELFU 6000 ZALETA KIZAZA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHANI


 Hali ndiyo ilivyokuwa katika soko la Vumilia mjini kahama Khadija Abdalla akiamuriwa ungovi na baadhi ya wafanyabiashara wezake . 

 Wacheni Tu 

 Mimi Sikubali hata kidogo hela zangu au pilipili hoho zangu 

 Mama yake na Khadija Ungovi wa nini tena mtoto wangu 


 Baadhi ya bidha zilizoharibiwa katika ungovi huo na kuwangwa chini kama jinsi zinavyonekana hapo chini 



Wewe wachani   ungovi  wenu hapa 

 Mume wa khadija alipofika katika kibanda chake hajui la kufanya baada ya kuambiwa mke wake wameleta vujo hapa sokoni 

 Kaka yake na Khadija akibaki ameshanga haju la kufanya 

 Mmoja  ya jirani yake na khadija mwenye kitambaa chekundu kichwa akiwa amebaki ameshangaa  hajui la kufanya baada ya kuona ungovi huo

 Mimi sikubali niacheni tu siwezi kuonewa hivi hivi tu mimi sijachukuwa hoho zake 

Khadija Niacheni leo aone mimi sikuja kucheza hapa naomba hela yangu tu mimi hayo ndiyo maneno ya khadija 


Baadhi ya wafanyabiashara wa soko hilo wakiwa washangaa ungovi huo
Kahama 

KUFUATIA kipindi kigumu cha maisha katika Mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wasilamu wote dunia huenda sokoni kutafuta futari kwa ajiri ya kufuturu,hali imekuwa tofauti kwa wafanyabiashara katika soko la wakulima wilayanai kahama mkoani shinyanga kugombania wateja na kisha kujeruhiana.

Hali hiyo imejitokeza katika moja ya soko ambalo linamilikiwa na mbunge wa jimbo la kahama mjini Jumanne Kibella Kishimba linalojulikana kama soko la wakulima jambo ambalo sio soko rasimi ni kutokana na kutoingizia mapato serikali.


Sakata la kugombea watejea limejitokeza majira ya saa tatu nanusu mpaka saa nne kamaili asubuhi ambapo wafanyabiashara hao wawili Khadija Abdallah na Grace aliyetambulika kwa jina moja,walijikuta wakishiakana mashati na kuchaniana nguo kwa kugombania mteja.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply