RAIS MAGUFULI AWAPISHA MAKAMISHINA WA JESHI LA POLISI

 Makamisha wa jeshi la polisi wakila kiapo mbele ya Rais John pombe magufuli 

 Makamishina wa jeshi la polisi wakisaini kiapo cha madili baada ya kula kiapo 

 Saini kiapo 

 Rais John  Pombe Magufuli  akisalimiana na makamishina wa jeshi la polisi kabla ya kula kiapo 

Rais John pombe magufuli akiwahutubia makamishina wa jeshi la polisi mara baaada ya kula kiapo hicho .

 Rais John pombe magufuli akitoa maelekezo ya kazi la jeshi la polisi mara tu baada ya kula kiapo 


 Rais John Pombe Magufuli akiwapa vitafunwa makamishi wa jeshi la polisi  waliokulakiapo na baadhi ya wangeni walikwa 

 Rais John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya pamoja na makamishi waliokula kiapo

Post a Comment

Previous Post Next Post