![]() |
| Mh jemes Lembeli |
![]() |
| Mh Lembeli akiwa na Rais josepha pombe magufuli katika viwanja ya milangpo kumi mjini kahama |
Aliyekuwa mgombea ubunge jimbo la kahama mjini katika uchanguzi mkuu mwaka jana kwa tiketi ya chadema jemes lembeli amesema kuwa hana mpango wa kuhama chama cha maendeleo ya wanachi chadema na kurudi ccm mimi magufuli ni Rafiki yangu toka zamani ila mimi nilikuwa nataka mabadiliko ndani ya chama cha ccm lakini nilionekana ni msaliti kwa kusema ukweli haya anavyofanya mh Rais ndiyo mimi nakumbalianaye ndani ya ccm kulikuwa na Rushwa kubwa ,na hasa katika hizi halmashauri zetu alisema lembeli .


