![]() |
| RAIS John Pombe Magufuli Amesema hakuna mchanga wowote wa madini kwenda nje ya nchini |
![]() |
| Moja wa mgodi wa Dhahabu huliopo wilayani kahama wa Buzwagi kati ya migodi inayosafirisha mchanga nje ya nchi ambapo Rais magufuli amepinga Marufu kusafirisha mchanga huo |
| Mitambo ya kuchimba dhahabu katika mgodi wa buzwagi ambapo uchimbwa kwa dhahabu hiyo na baadhi ya mchanga wenye madini kusafirishwa nje ya nchi kwa utalamu zaidi |
| Moja ya Dapa la kubeba mawe ya dhahabu na madini mengine baada ya kuchambuliwa katika mgodi huu uliopo wilayani kahama |
| Eneo moja wapo la shimo la mchanga wa dhahabu |
| Moja ya Madapa Makubwa yakiwa katika hatua ya kupakia mchanga au mawe yenye dhahabu katika mgodi wa dhahabu |
![]() |
| Dapa kubwa linyeuwezo wa kupakia tani 200 za mawe ya dhahabu katika mgodi wa dhahabu wilayani kahama |
![]() |
| Baadhi ya Maroli yakiwa yamembeba Makotena ya mchanga wa madini mengine toka mgodi wa dhahabu wa buzwagi Acaci yakiwa yanaelekea jiji dar kwa kusafirisha nje ya nchi |
![]() |
| baadhi ya maroli ya mchanga toka mgodi wa buzwagi kuelekea jiji dar kwa kupelekwa nje ya nchini. |




