sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » IDARA YA MISTU YATOA ONYO KWA WANANCHI

 Baadhi ya Magongo yalikamatwa na wakala wa mistu kahama yakiwa hayana kibali cha kukata  mangongo 

 Roli ambalo limekamatwa na wakala wa mistu kahama 

 Askari mgambo wa maliasili wakiwa wanakangua ngari ambalo limepakia magongo 

 Askari mgambo wa maliasili akiangali magongo yalipakiwa kwenye gari ndogo kwa ajili ya kwenda kuchana mbao kahama mjini 

 Magongo 

 Wakala wa mistu wakiwa wamekamata moja ya magari ambayo yanafanya biashara ya kumbeba magongo usiku wilayani kahama 

 Scania ya kampuni ya fresho ikiwa imekamatwa na wakala wa mistu kahama ikiwa na shena ya mkaa mjini kahama 

 Wakala wa mistu kahama wakamata bajaji ikiwa na magongo zaidi ya kumi 

 Bajaji ikiwa na magongo 


 Roli la fresho likiwa na baadhi ya magunia ya mkaa 


KAHAMA 

Idara ya misitu TFS wilayani Kahama,mkoani shinyanga  imewataka wananchi wilayani humo kujiepusha na vitendo vya Ununuzi wa mazao ya Misitu bila vibali kwakuwa kufanya hivyo ni kinyume na sheria za mistu.

Meneja wa Idara hiyo Bruno Bahane alitoa rai hiyo wakati akizungumza na Nipashe  ofisini kwake mjini Kahama baada ya idara hiyo kukamata Lori la Kampuni ya Pamba Fresho likiwa na Magunia 22 ya Mkaa

Akizungumzia makosa ya Mmliki wa gari hilo aina ya SCANIA lenye namba za Usajili T 605 AQP, Meneja huyo aliyataja kuwa ni mawili ambayo kosa la kwanza ni Kumiliki mazao ya Misitu, na la pili ni  Kuyasafirisha ambayo kwa mujibu wa Sheria yanatakiwa kulipiwa Faini

Bahane amesema kuwa matukio ya kukamatwa kwa magari ya wafanya biashara yakiwa na Magunia ya Mkaa,na Magogo yamekuwa yakijirudia mara kwa mara na kwamba wanaokamatwa hutozwa faini.



«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply