sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » WACHIMBAJI WANDOGO WAVAMIA MGODI MDOGO WA ALMASI WA MUWEKEZAJI KAHAMA

  eneo la machimbo walipovamia wachimbaji 

 Baadhi ya mashimo ambayo wachimbaji wadogo wamevamia eneo la muwekezaji 

wamevamia eneo la mwekezaji la kampuni ya Nyang’hwale Dimond Ltd 

 Baadhi ya wachimbaji 

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa kahama Abel Shija akiongea na wachimbaji wadogo waondoke eneo hili lipo kihalali katika eneo hilo. 


 Wachimbaji wakiondoka eneo la Machimbo ya Nyanghwele ya almasi Diamond Ltd 


 Moja ya gari la polisi likiwa katika Doria ambapo baadhi ya wachimbaji walivamia eneo hilo 

 Mtambo ya mwekezaji wa  kampuni ya Nyang’hwale Dimond Ltd 

 Mitambo ya Muwekezaji 

 Mbunge wa jimbo la kahama jumanne kishimba na Meya wa mji wa Kahama Abel shija akiwa na  wachimbaji wadogo eneo la muwekezaji kahama 

 Mbunge wa jimbo la kahama Jumanne Kishimba mwenye kofia akiongea na wachimba juu ya mgongoro wa kuvamiwa kwa machimbo ya muwekezaji 

 Mkutano wa  Mbunge na wachimbaji
 
KAHAMA 

Wachimbaji wadogo  zaidi  ya 100  kutoka katika kijiji cha Nyank’wale katika halmashauri ya mji wa Kahama mkoani  shinyanga wakiwa na mapanga Malungu na vifaa vya kuchimbia  dhahabu  wamevamia eneo la mwekezaji la kampuni ya Nyang’hwale Dimond Ltd  ya  mkoani shinyanga na kutaka  kuchimba Almasi  kwa Nguvu kwa madai kuwa mwekezaji huyo amelitelekeza eneo hilo.

Baadhi ya wachimbaji hao  MasudyJuma   mwingine waliofahamika kwa jina la Ibrahimu wamesema kuwa mwekezaji huyo alipatiwa eneo hilo  miaka kumi iliyopita na kwamba  wamelazimika kuingia katika eneo hilo  kwa madai kuwa  mwekezaji ameshindwa kuanza uzalishaji ili wananchi waanze kunufaika,

Kufuatia tukio hilo baadhi ya viongozi wa wilaya akiwemo mbunge wa jimbo hilo Jumanne kishimba amekili kuwa  eneo hilo la mwekezaji  alipatiwa miaka 10 iliyopita lakini amepatelekeza na kwamba keshi wanatarajia kufanyamazungumuzo nae ili kupata mwafaka wa kuanza kuchimba almasi na wananchi waanze kunufaika.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply