sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MKUU WA MKOA WA SHINYANGA ZAIBU TELCK AKIFUNGA MAFUNZO YA JESHI LA AKIBA MGAMBO KAHAMA

 Mkuu wa mkoa wa shnyanga Zainab Telack  akisalimiana na viongozi mbalimbali wa serikali kwenye mafunzo ya mgambo katika kijiji cha  Bugomba 

 Mkurungezi wa ushetu Michael Matomoro akisalimia  na mkuu wa mkoa wa shinyanga  

 Heshima kwa Mkuu 

 Heshima na wimbo wa Taifa  

 ukanguzi wa  Ngwalide Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga 


 Mkurungezi Mtendaji wa Halmashauri ya Ushetu Mwenye kitenge Michael Matomoro na mwenyekiti wa ccm wa wilaya ya kahama mwenye koti   Heshimu kwa mgeni  Rasmi 

 Viongozi wakipokea saruti kutoka kwa wahitimu wa mafunzo ya mgambo 

 Baadhi ya wananchi wa vijiji vitatu vya Bugomba  B wakishundia kufungwa kwa mafunzo ya mgambo 

 Moja ya wahitimu wa jeshi la akiba la mgambo akipokea cheti cha kumaliza mafunzo hayo 

 Ukakamavu kwanza 

 Mazoezi ya Vitendo baada ya mafunzo 

 Mkuu wa wilaya ya  kahama fadhili Nkurlu akiongea na jeshi la akiba la mgambo katika kijiji cha Bugomba B 

Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga  ZainabTeracka

 Mkuu wa mkoa wa shinyanga Akiwahutubia baadhi ya wahitimu ya mafunzo ya jeshi la akiba la mgambo katika kijiji cha bugomba B  kulia ni mkuu wa wilaya ya kahama mwenye sharti la kitenge Fadhili Nkurlu 

 Wahitimu wa jeshi la akiba mgambo ambapo wamehitimu mafunzo hayo ya miezi 3 


kahama 

Serikali mkoani shinyanga imezitaka halmashauri za wilaya na kuhakikisha wanawatumi jeshi la akiba la Mgambo kwenye shughuli za kitaifa kama wanavyo watumia jeshi la polisi na jeshi la wananchi katika shughuli Muhimu za kitaifa.

Akizungumuza wakat iwa kufunga mafunzo ya Mugambo kimkoa katika kijiji cha Bugomba B mkuu wa mkoa wa shinyanga  ZainabTeracka mewataka wa kurugenzi wa halmashauri za wilaya kuwa tumia Mugambo kwenye ulinzi wa kazi za kitaifa.

Alisema kuwa kuna shughuli za ulinzi wa mitihani ya kitaifa, usimamiziwa uchaguzi na kuwalinda viongozi kwa tayari wana kuwa na mafunzo ya kijeshi na kula kiapo cha utii wa sheria za nchi.

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply