sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » DAWATI LA KIJISIA POLIS KAHAMA WAFANYA UZINDUZI WA SIKU YA KUMI 16 ZA KUPIGA UKATILI WA KIJISIA

 Wanafunzi wa shule ya msingi Nyahanga  wakiwa katika mandalizi ya mandamano  katika kituo cha polisi kahama 

 Baadhi ya askari wa Dawati la kijisia  wakiwa katika mandamano katika siku ya kupiga  ukatili  wa kijisia  wakiwa katika Barabara za mji wa kahama  

 Wanafunzi wa shule ya msingi nyahanga  wakiwa katika Barabara za mji wa kahama kuelekea katika uwanja wa bwalo la polisi katika uzinduzi  wa siku kumi na sita  za kupinga ukatili  wa kinjisia 

 Baadhi ya wanasheri wa halmashauri ya msalala  wakionyesha Bango lao kwa mgeni rasmi 

 Mandamano ya wanafunzi na walimu wao 

 Kauli Mbinu 

 Wanafunzi wakiwa na Mabango kuonyesha kauli mbinu ya siku ya kupinga ukatili  wa kijinsia 

 Wanasheria wa shinyanga katika siku ya Uzinduzi wa siku kumi na sita  za ukatili wa kijinsia 

 Baadhi ya Madiwani wa halmashauri za Mji, Ushetu na Msalala wakiwa katika mandamano ya siku ya kupinga ukatili 

Moja wa wasimamizi wa Dawati  na jinsia wa jeshi la polisi NINAELY  KiSAGESE  akiwa na na baadhi ya madiwani 

 Moja ya Bango lenye ujumbe wa siku ya kupinga ukatili wa kijinsia 

 Wanafunzi wakiwa katika kusikiliza Hotuba ya mgeni Rasmi ambaye hayupo pichani 

 Picha ya pamoja  na mgeni Rasmi wakati wa siku ya kupinga ukatili wa kijinsia mwenye koti jeusi Seif Bashemera 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply