| kaimu meneja wa kanda ya Magharibi inayojumuisha mikoa ya Katavi,Tabora,Shinyanga na Kigoma Akito maelezo kwa mkuu wa wilaya ya kahama Juma Ramadhani |
| Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akiongea na watendaji wa wakala mistu na watendaji wa halmashauri juu ya utunzaji wa mistu |
| Mweneja Msaidizi wa wakala wa mistu kahama mwenyesharti Nyeupe Mohamed Dossa wakisikiliza maelezo vizuri katika kikao kazi |
| Mmoja wa Watendaji wa wakala wa mistu wakisikiliza Hotuba ya mgeni Rasmi mkuu wa wilaya ya kahama juu ya utunzwaji wa mistu |
| Viongozi na watendaji wakisikiliza maelekezo juu ya mistu |
| Majandiliano yanaendelea kwa watendaji |
| Picha ya pamoja na mkuu wa wilaya ya kahama |