sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » MKUU WA WILAYA YA KAHAMA FADHIRI NKURLU HAZIDUA KIFAA CHA MOTO KATIKA SHULE YA SEKONDARY DAKAMA USHETU

Eneo la shule 

 Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu  mwenye kofia  na nyuma yake ni Mwenyekiti wa halmashauri ya ushetu juma kimisha wakati wa uzinduzi wa vifaa vya moto katika shule ya  Sekondari  ya Dakama 

 Baadhi ya wanafunzi na watumishi wa halmashauri ya ushetu  wakisikilza mkuu wa wilaya hayupo pichani  wakati wa uzinduzi wa kifaa vya kujinkiga na majanga ya Moto  katika maeneo ya shule za wilaya kahama 

 Mkuu wa wilaya Fadhiri Nkurlu Akitoa maelenzo juu ya  vifaa  vya majanga ya moto katika mabweni ya shule 

 Moja ya Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya Dakama Akionyesha jinsi ya kuzim,a moto kwa kumia vifaa maalum katika  kuzima moto shule hapo  Dakama 

  Mkuu wa kikosi cha zimamoto wilaya kahama Mwenye  kofia   INSP  FRENK Elophazy  akiwa na mitungi ya kusimia moto huku msaidizi wake Muhaji  Mmanga  wakiandaa vifaa vya kuonyesha wanafunzi wa shule ya Dakama 

 Mkuu wa kikosi cha Zimamoto kahama INSP FRENK Elophazy  akitoa maelezo juu ya kujikinga na majanga moto endapo moto utawaka .

 Mkuu wa wilaya FADHILI NKURLU  Akionyesha jinsi ya moto unaweza kuzimwa kwa haraka kama vifaa vipo karibu 

 Mkuu wa wilaya wakifurahi  jinsi ya kuweza kudhibithi moto kwa haraka  akiwa na wanafunzi wa shule ya sekondari Dakama 

 Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Dakama wakiwa na Furaha  baada ya kuona vifaa hivyo .

Moja ya Mabweni ya wanafunzi wa kike 

 Hii ndiyo kifaa cha kisasa cha kutambua  kama kuna hatari ya Moto katika Mabweni ambapo moto unaweza kudhibithiwa kwa haraka 

 Mwenyekiti wa Halmashauri ya Ushetu juma kimisha akiwa na mkuu wa wilaya  ya kahama Fadhili Nkurlu kukangua  eneo la shule hiyo.

 Mwanafunzi wa shule ya sekondari ya  Dakama  akiwa ameshika kifaa cha moto kuonyesha jinsi gani kifaa hicho kinawenza kufanya kazi kwa wakati

Mkuu wa wilaya kahama Fadhili Nkurlu  Azindua vifaa vya majanga ya moto katika shule ya sekondari Dakama ,

Akiongea na wafunzi wa shule hiyo mkuu wa wilaya alisema mpango huu ni kwa shule zote  za wilaya ya kahama  hasa zilizo na mabweni
Aidha  Fadhili Nkurlu alisema sasa kama kuna vijana wenye tabia ya kuvuta bagi au singara ndani ya mabweni sasa wataumbuka kwa sababu kifaa hicho kiona moshi tu kiwaka na kupinga almu kuonyesha kunan tatizo eneo hilo la ndani kuashiri kuna janga la moto alisema Fadhili Nkurlu. 

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply