| Vitu mbali mbali vilivyotolewa kwenye kituo cha watoto yatima cha mvuma siku ya vyombo vya Habari Duniani ambapo kahama Journalist forum walitoa zawadi ya vitu mbali mbali |
| Uga,mafuta juice pipipi vilitolewa |
| Mwenye tisht ya ragi nyekundu ni katibu wa kahama journalist forum Salvatory Kelvin kwenye picha ya pamoja na watoto yatima wa kituo cha mvuma. |
| Mwenyekiti wa Halmashauri ya mji wa kahama Abel shija akikabidhiwa Risala na katibu wa kahama journalisst forum Salvatory Kelvin |
| Baadhi ya watoto yatima katika kituo cha mvuma wilayani kahama |