Rais Dkt John Magufuli Amtolea Uvivu Lissu..Msikie hapa mwenyewe


Rais John Magufuli amesema kuwa Serikali imetatua Changamoto mbalimbali pamoja na Madawati kwenye Jimbo la Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu.
“Tumetatua changamoto ya madawati…sasa hivi hata watoto wa TunduLissu wanakaa”
Magufuli amesema kuwa kuna “Wengine mmewachagua lakini wanaongelea ya Dar es Salaam tu…Kosea kuoa unaweza kutoa talaka, lakini usikosee kuchagua”

Rais Dkt John Magufuli Amtolea Uvivu Lissu..Msikie hapa mwenyewe  Rais Dkt John Magufuli Amtolea Uvivu Lissu..Msikie hapa mwenyewe Reviewed by Mohab Dominic on 23:58 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.