WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA LORI LILILOTUMBUKIA MTO SONGWE, MSAFARA WAKE WASIMAMA KWA MUDA

 


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  akipenya  ili kuvuka  katika daraja la mto Songwe kwenye mpaka wa  mikoa ya Mbeya na Songwa  baada ya Lori lililokuwa limebeba vinywaji baridi   kupinduka katika  daraja hilo na kuziba barabara.   Ajali hiyo ilisababisha msururu mrefu wa magari  yaliyokuwa yakitoka Tunduma na yale yaliyokuwa yakitoka Mbeya Julai 24, 2017. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)

  1. Msururu wa magari uliosababishwa na  ajali ya lori lililopinduka  kwenye daraja la mto Songwe katika barabara Mbeya- Tunduma Julai 24, 2017. Lori hilo lilikuwa limebeba vinywaji baridi.

WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA LORI LILILOTUMBUKIA MTO SONGWE, MSAFARA WAKE WASIMAMA KWA MUDA  WAZIRI MKUU MAJALIWA ASHUHUDIA LORI LILILOTUMBUKIA MTO SONGWE, MSAFARA WAKE WASIMAMA KWA MUDA Reviewed by Mohab Dominic on 23:20 Rating: 5

No comments:

Powered by Blogger.