sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» » » KAHAMA SASA WAPATA NAFUU YA USAFIRI WA NDEGE TOKA KAHAMA DAR

 Tumewasili MJI wa  kahama


 Baadhi ya wakazi wa kata ya mwendakulima wakishuudi ujio wa ndege ya shirika la precision air  

UMATI mkubwa wakiwa uwanja wa ndege wa buzwagi ambapo kwa mara ya kwanza ndege hiyo mishuka hapa kahama 

 Gari la kikosi cha zimamoto ilikiwa nyuma ya ndege huku wananchi wakishuhudi ujio huo wa ndege 

 Baadhi ya wahudu wa ndege ya Precision air wakiwasalimia baadhi ya wangeni walifika uwanjani hapa 

 Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akisalimia na Mbunge wa jimbo la kahama Jumanne kishimba kwenye mapokezi ya ujio wa safari za ndege wilaya hapa 

 Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu Akiwa na mbuge wa jimbo la kahama Jumanne kishimba wakati wa kuanza kwa ujio wa shirika la ndege la Precision Air mji kahama huku meneja wa mgodi wa buzwagi .

Wadau wa usafiri wakiangalia ujio wa ndege wa kahama buzwagi 

 Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu akisalimiana na meneja wa mgodi wa buzwagi na viongozi wengine  muda mfupi tu baada ya ndege hiyo kuwasili hapo majira ya saa 10 30 jioni 

corporete alfairs manage Hillary  Mremi akitoa hotuba katika kiwanja cha ndege buzwagi kwa ajili ya kuanza safari ya kutoka kahama dar tarehe 9 mwezi wa 8 mwaka huu.  

 Meneja wa mgodi wa buzwagi aktoa shukurani kwa mkuu wa wilaya ya kahama kwa jitihada ya kuhakisha wakazi wa kahama wanapata usafiri wa ndege toka kahama kwenda dar kwa wakati 

 Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhiri Nkurlu Akiongea  baadhi ya wakazi wa kata mwendakuli baada ya ujio wa shirika la ndege la Precision Air kuanza safari zake hivi karibuni wilayani hapa 

 Meneja wa mgodi wa buzwagi na mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu Wakifungua upete wa kuonyesha ishara ya ujio wa shirika la ndege la precision Air mjinkahama 

 Pia Burudani Bali mbali za ngoma zilikuwepo uwanjani hapo  kwa ajili ya ujio wa usafiri huo 

George Mkanza Meneja Rasilimaliwatu wa mgodi wa buzwagi kati ni mkuu wa wilaya ya kahama na mwisho ni meneja wa mgodi wa buzwagi kwenye picha ya pamoja uwanjani 

Baadhi ya viongozi wa shirika la ndege la precision Air wakiwa katika picha ya pamoja

 KAHAMA
Meneja wa shirika la ndege la precision air  Hillary Mremi  wamewata wakazi wa mji wa kahama na  nchi jirani za Rwanda ,Burundi na congo kuchamkia fursa za ujio wa ndege mjini kahama.

Hayoaliyasema wakati wa kuwasili kwa mara ya kwanza kwa ndege ya shirika la Precision Air kwa mara ya kwanza kuanza safari zake kwa wiki mara tatu toka  dar na kuja mjini kahama na kurudi dar.

Aidha Mremi alisema kuwa kwasasa  mji wa kahama utapunguza tatizo kubwa la abiri kutoka kahama kwenda mwanza kwa ajili ya usafiri wa kwenda Dar sasa unapanda ndege kahama saa 2.30 na mchana saa 5 upo dar hii sasa ni fursa yenu kwa wakazi wa kahama alisema.

Naye mkuu wa wilaya ya kahama Fadhili Nkurlu alisema Suala hili likuwa ni muda mrefu ndugu zangu wa kahama leo nasema niwashukru sana hawa wezetu nawa wa shirika la ndege la Precision Air kwa kubali suala hili la kuazisha usafiri huu.

Aidha  Nkurlu alisema pia nishukuru sana shirika hili kwa ombi la  watu wa kahama kukubaliwa  na kutoa wito wangu kujitokeza kwa wingi  ili usafiri huu uwe wa kila siku  hii ni kuona wanachini walipokea  vipi suala ujio huu wa ndege hii

“niwaombe sasa wafanyabiasha wa kahama usafiri huu hapa kazi kwazi kwenu sasa ila wasafiri mkiwa wengi basi itakuwa usafiri wa kila siku na kuondokana na adha ya kwenda mwanza kuchua usafi.”alisema Mkuu wa wilaya ya kahama Fadhiri Nkurlu.

Kwa upande wake Mbunge wa jimbo la kahama Jumanne kishimba Alipongeza ujio wa kuanza kwa safari za ndege mji hapa na kusema ni fursa njema kwa kahama.

Akieleza faida za ujio huu Mbuge kishimba alisema kuna mambo mengi watu watapa ajili mahotel yetu yatafanya biashara kwa wangine na pia ni fursa kwa wazetu wa Nchini za jirani kama vile Rwanda Burundi congo kuja kahama na kufanya mambo yao kwa wakati.
Mwisho     «
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply