Dec 10.2013
Abiria 750 wakwama tabora masaa 8
Zaidi ya
abiria 750 wakwama katika barabara kuu toka
tabora kwenda nzega yakiwemo
mabasi kumi na mbili na maroli kumi na tano.
Mabasi hayo
ambayo hufanya safari zao za kila siku kutoka tabora na kwenda jijini mwanza na
mikoa mbalimbali hapa nchini.walikwama katika kijiji cha kimpugala wilayani
uyui mkoani tabora ambapo mvua kubwa ziandelea kunyesha katika mkoani hapa.
Baadhi ya
abiria waliokuwemo kwenye mabasi ya mbongo na Am yaliokuwa yanatoka tabora
kwenda jiji mwanza majira ya asubuhi saa 12.00 walisema walikwa katika kijiji
cha kimpugala asubuhi saa 1.asubuhi.
Mmoja wa
abiria khadija athumani ambaye alikuwa akielekea jiji mwanza aliambia gazeti la
nipashe kuwa mvua kubwa ambayo ilikuwa ikinyeshe asubuhi hii ndiyo chanzo za
hizi barabara kukatika kutoka na mvua hizi zinaondelea kunyesha.
Aidha
khadija alizidi kusema kuwa wajenzi wetu wamesahau kuweka njia za kupitisha
maji haya ni mengi sana hivi sasa mvua
nyingi ni bado tuombe mh waziri john magufuli kuwangalia kwa karibu sana hawa
wajenzi kuweka vizuri njia .
Naye juma
mabula ambaye alikuwa akisafiri kwenda musoma alisema kuwa tumechukua muda muda
mwingi sana kuomba msaada ilipofika saa 6 mchana tulifanikiwa kupata kampuni ya chico inayofanya kazi ya ujenzi wa hiyo barabara.
toka tabora mpaka nzega kwa kiwango cha lami.
Akifafanua
zaidi mabula alisema mabasi yalikuwepo hapa ni zaidi 12 na maroli 15 kulikuwa
na umati wa watu wengi sana kama wewe muandishi hunayoa watu.wakinamama na
watoto wamepata tabu kubwa sana hapa
“wewe
angalia huu umati mkubwa watu soda moja inauzwa elf moja na mia tano 1,500/= na
maembe moja limeunzwa elf moja huoni hii ni hatari ndugu yangu muandishi ila
tunamshuru sana mwenyezi mungu mvua ilikuwa imekati ingekuwepo sijui tu hali ya
hapa igekuwa je ,alisema moja wa safari.
Abiria hao
wameomba serikali kuangali hizi barabara wakati wa ujenzi ili kuona sehemu zipi
kolofi iliziweze kurekebishwa mapema kabla ya madhara makubwa kutokea.
Polisi
mkoani tabora imedhibitisha kutokea kwa kukwama kwa mabasi hayo na maroli za ya
kumi na tano.
Mwisho
MVUA MKUBWA ZINAOZOENDELEA KUNYESHA MKOANI TABORA ZIMESABISHA ABIRIA ZAIDI YA 750 KUKWAMA BAADA YA MVUA HIZI KUHARIBU MIUNDOMBINU
BASI LA KAMPUNI YA AM NAMBA T606 AME AMBALO LITOKA TABORA KWENDA JIJI MWANZA LIKWAMA KATIKA KIJIJI CHA KIPUMGULA ZAIDI YA MASAA 8
BAADHI YA MABASI YAKIWA HAWAJUI HATI YA SAFARI YAO
MMOJA WA ABIRIA AKIWA HANA LA KUFANYA NI KUTEMBEA KUANGALIA MADHARA MVUA KUBWA ILIYONYESHA NA KUSABISHA KWA KUKWAMA KWA MAROLI NA MABASI
HILI NDIYO MOJA YA MABASI YALIKWAMA KWENYE TOPE ZITO
BAADHI YA ABIRIA WAKIJALIBU KUPEANA MAWANZO JINSI YA KUJIKWAMUA KATIKA HALI HIYO
BAADHI YA WAFANYAKAZI WA KAMPUNI YA CHICO WAKITAFAKARI JINSI YA KUTOA MSAADA WA KUWANUSURU ABIRIA HAO.
HALI BARABARA NJISI HINAYONEKANA NA FOLENI YA MAGARI YALIVYOKWAMA
GARI KAMPUNI YA CHICO WANAOJENGA BARABARA YA KIWANGO CHA LAMI LIKIJALIBU KULITOA BASI LA KAMPUNI YA AM LILOKWAMA KATIKA KIJIJI CHA KIMPUNGULA WILAYANI UYI MKOANI TABORA
BAADHI YA ABIRIA WAKIJALIBU BILA YA MAFANIKIO KULISUKUMA BASI LA KAMPUNI YA MBONGO
BAADHI YA KINAMAMA NA WATOTO WAO WAKI KATIKA TAFAKALI JUU YA SAFARI YAO
WAFANYABIASHARA NAO WAKUWA MBALI SANA WAKATI WA MAJANGA WAO HUWA WANAWAZA KUFANYA BIASHARA YAO BILA KUANGALI HALI HALISI KAMA WANAYONEKA WAKIUNZA MAADAZI
WAKINA MAMA NA WATOTO WAO HAWAJUI LA KUFANYA
BASI LA KAMPUNI LA ALLYS LINALOFANYA SAFARI KATI YA MWANZA NA URAMBO NA KALIU MJNI TABORA LIKIWA LIMEZAMA KWENYE MATOPE
WAFANYABIASHARA NAO WALIFIKA KUFANYA KAZI YAO YA KUUZA CHAKULA KAMA MAMA HUYO ANAYONEKA AKIWA NA KULA WALI NA NYAMA BAADA YA KUUKA ZAIDI YA MASAA 8
MAEMBE NAYO YAKUKOSEKA KAMA WAZEE HAWA BAADA YA KUISHIWA NA HELA WAKAMUA KULA HATA HIZO EMBE KWA BEI YA MIA TANO KWA FUNGU MOJA
MAFUNGU YA EMBE KAMA YANAVYOENEKANA HAPO SOKONI
MAMA HUYO NA WANAWE WAKIWA HAJUI HATI YA SAFARI YAO HUKU MTOTO AKIWA CHINI
WAKINAMAMA WAKIWA KATIKA MSHANGAO KUBWA WASIJIU LA KUFANYA
BAADHI WAKI WAMEJIIFAZI KWENYE VICHAKA KUTOKANA HALI KUKOSA SEHEMU YA KUKAA by mohab dominick,
No comments: