sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » MTENDAJI JELA MIAKA MITATU KWA WIZI WA MAHINDI YA MSAANDANa 
      Kishapu
      Dec 11,2013


Mtendaji wa kijij cha Bubiki kata ya Bubiki  Tarafa ya Mondo, John Bonifance  wilayani kishapu mkoani shinyanga  Hakumiwa jela miaka mitatu kwa kosa la wizi wa chakula cha msaanda wa njaa,magunia 123.

 Hakisoma Hukumu hiyo hakimu wa  mahakama ya mwanzo mwadui  Mh Hakimu  khalfani 0mary wilayani kishapu,akisoma hukumu hiyo mh hakimu alisema john Bonifance  alipokea jumla ya  magunia 123 ya mahindi ya njaa mwaka huu,magunia hayo yalipaswa  kugawiwa katika kijiji cha Busangwa kilichoko kata ya Bubiki.

Akiendelea kusoma hukumu hiyo mahakama ilikuta na  hatiani kwenda jela miaka 3 na kuamriwa kulipa jumla ya magunia 123 ya mahindi yaliyoibwa chini ya uangalizi wake.

Mahakama hiyo endelea kusema kitendo ,hicho kama mtumishi wa serikali kinatia aibu kubwa kwa jamii iliyopo na kukosa imani na watendaji  wa namna hii.

Aidha mahakama hiyo iliendelea kusema na hii ni onyo na tahadhari kwa viongozi  wenye tabia hiyo

Ikiwa takribani mwezi moja na nusu baada ya Agizo la mkuu wa wilaya ya kishapu Wilson Nkhambaku kumsimamisha kazi mara moja na kumpandisha mahakamani Afisa huyo.

Hukumu hiyo imepokelewa kwa mitazamo chanya na mwananchi  walio wengi ,hasa wanyonge waliokuwa ,wanakubwa na kadhia ya kuimbiwa ama kupokonywa haki zao na baadhi ya viongozi wasio waadilifu kama hawa .


Mwisho


«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply