sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » MAANISPAA YA TABORA YAONGONZA KWA MATUKIO 94 YA UNYANYASAJI NA UKATILI WA KIJINSIA         Tabora
       Des 14,2013
 
JESHI La polisi mkoani  Tabora limesema kuwa manispaa ya Tabora linaongoza kwa vitendo vya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia.

Haya yalisemwa na kamanda wa polisi mkoa wa Tabora (RPC)Peter Oumma ,alisema jumla ya matukio 394 ya ukatili na unyanyasaji wa kijinsia yameripotiwa mkoani hapa,  katika vituo vya polisi huku manispaa ya tabora ikiongonza kwa vitendo hiyo.

Kamanda oumma aliasema hayo kwenye kilele cha madhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili na uyanyasanji  kijinsi Duniani yalifanyika katika kituo kiku cha polisi mkoani hapa .

Katika madhimisho hayo kamanda uomma akihutumbia baadhi ya mwananchi waliodhuria mahadhimisho hayo alisema kuwa manispaa ya Tabora, inaongonza kwa matukio 94 kati 394 ambayo yalipotiwa January mwaka huu hadi Desemba mwaka huu. 

Aidha kamanda Peter uomma katika matukio hayo 94 yanaohusu ukatili  na unyanyasaji  wa kijinsia  kesi 60 zilifunguliwa vituo vya polisi kuhusu kesi za ubakaji.

Kamanda uomma amewataka mwananchi wa mkoa wa Tabora na jeshi la polis mkoa na wadau na Taasisi za kirai kuunga mkono mapambano haya yakiwa ni pamoja na kusaindia  kuwafikisha katika vyombo, vya sheria wahusika wote wanaofanya vitendo hizo vya unyanyasaji huo .
  
Kamanda Peter oumma amesema kwamba,jeshi la polisi limefunga ofisi ambayo itakuwa maalum kwa ajili ya kushughulika na matukio ya ukatili wa kijinsia katika mkoa wa Tabora na wilaya zake zote,bila ubanguzi wowote.

Mwisho  

«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply