Hakimu mkazi mfawidhi Gadiel marick akiwa na muezeshaji samweli mshetu wa mafunzo ya mfumo wa karatasi kwenda mufumo wa kopyuta katika ukumbi wa karitasi mafunzo hayo ya siku tano .
Baadhi ya makalani wa mahakama ya wilaya ya kahama elizabethe peter na sharife rashidi wakiwa katika mafunzo ya kopyuta toka mfumo wa karatisi na kwenda mfumo wa kopyuta
Muezeshaji toka mahakama kuu tanzania samweli mshetu akitoa maelezo juu ya mfumo mpya wa kopyuta toka wa wazamani wa karatasi
Baadhi ya washiriki wa mafunzo wa karatasi kwenda mfumo mpya wa kopyuta wa sasa na kuwacha wa mfumo wa karatasi.
washiriki wakiwa makini kusikiliza mafunzo mapya kopyuta .
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya kopyuta mahakimu na makalani wakisikilza kwa makini muezeshaji wa mafunzo haya toka mfumo wa zamani wa makalatasi kwenda mfumo mpya wa kopyuta .
kutoka kulia ni kalani wa mahakama ya wilaya ya kahama audax rwechungura kati ni hakimu mwenye tai nyekundu hermes byarugaba na kulia ni hakimu gadiel marick wakisoma taarifa kupitia mfumo mpya wa kopyuta .
Mh hakimu hermes byarugaba akiwa na kopyuta yake wakati wa mafunzo ya mfumo mpya wa kopyuta toka wa kalatasi wa zamani .
Baadhi ya washiriki wa mfumo mpya wa kopyuta na kutoka wa zamani wa karatasi wa sasa .
Washiriki wa mafunzo ya kopyuta wa sasa na kuondoka na ule wa karatasi wa zamani .
Baadhi ya washiriki wakiwa katika makundi wakijadilia juu ya mafunzo haya .
kalani wa mahakama audax rwechungura na mh hakimu juma rusobya wakijadili maada mbalimbali juu ya mafunzo mapya ya kopyuta kutoka mfumo wa zamani wa karatasi .
Washiriki wa mafunzo ya mfumo mpya wa kopyuta toka wa makalatasi wa zamani .
Baadhi ya makalani na makimu wakiwa tafadhakali juu ya mafunzo mapya ya mfumo wa kopyuta toka ule wa zamani wa karatasi.
Baadhi ya washiriki wa mafunzo ya karatasi na kwenda mfumo wa kopyuta wa sasa .
Mh hakimu mfawidhi bukombe ushindi swallo akisikiliza muezeshaji kwa makini juu ya mfumo mpya wa kopyuta kutoka wa zamani wa makaratasi .
baadhi ya makalani wa mahakama za wilaya ya kahama wakiwa makini kumsikiliza muezeshaji hayupo picha juu ya mfumo mpya wa kopyuta kutoka wa wazamani wa karatasi.
hakimu mfawidhi wa mahakama ya wilaya ya kahama gadiel marick akisikiliza muezeshaji wa mafunzo mapya ya mfumo mpya kopyuta toka wa wazani wa karatasi .
habari
Habari Za Mastaa
Michezo
simulizi za kusisimua
MOHABMATUKIO.BLOGSPOT.COM's Admin
We are.., This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Popular Post
-
DUKA LA KISASA LA DAWA MUHIMU BAMA PHARMACY LILPO MJINI KAHAMA MAJENGO KAMA LIVYO DR HERY MUGA AKITOA MAELENZO YA DAWA KWA MTEJA WAKE ...
-
Na Shinyanga Febr 4, 2013. HAKIMU WA MAHAKAMA YA MWANZO WILAYANI KAHAMA MH BRYARUGABA AKIWA NA ASKARI AFANDE THOMAS SIKU YA SH...
No comments: