Mkono wakulia wa kijana ambaye amenusurika na kifo cha nyumba yao kuchomwa na moto na watu wasifahamika usiku .
kijana akiwa hajui lolote akiwa hospital ya wilaya ya kahama baada ya kuokolewa na wasamalia wema usiku na kukibizwa katika kituo kidogo cha afya bulungwa .
Mtoto akiwa hospitali ya wilaya ya kahama kwa ajili ya matibabu pembeni yake kuna dripu ya maji
Nesi wa kiume akitoa huduma moja ya watoto walionusurika na kuchomwa na moto ndani ya nyumba yao akiwa na mama yao ndogo.
Jamaani ndiyo katoto haka kakilia kwa uchungu baada ya kuungua sehemu ya mkono wake wa kulia ubavu wa kulia .
Mtoto huyu ambaye ameungua mguu wa kulia na kushoto akiwa hospitali ya wilaya ya kahama kwa matibabu zaidi.
Na Mohab Dominick
kahama
7.8,2014
Watoto watatu wa familia moja wilayani kahama mkoani shinyanga wanusulika kufa kwa nyumba yao kuchomwa na moto usiku wa jana na watu wasifahamika
.
kwa mujibu wa mama yao melembe alisema kuwa hawa watoto waliachwa na mama yao ambapo yenye hafahamu mama yao alikwenda wapi usiku huo.
Adhia alizidi kusema kuwa yenye anaka mbali na sehemu ilikotokea ajali hiyo na kusema sijui ni kwa nini alihamua kuwacha watoto wake usiku huo .
jeshi la polisi wilaya limedhibitisha kwa kutokea kwa tukio hilo linaendelea na uchunguzi wa tukio hilo.
Mwisho
No comments: