Mkuu wa kitengo cha sheria cha AGB Afrricani gold mine bi katrine white pia na mfadhili wa can educate ya uingereza na shule ya sekondali ya mwendakulima mwenye kitabulisho mbele ni menag wa sustainability george mkanza na mkuu wa shule ya mwendakulima Diana kuboja .
Meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu na mkuu wa kitengo cha sheri cha AGB Afrrican gold mine katrine white akiwa katika eneo la shule ya mwendakulima ambapo mradi wa can educate ya uingereza walipofika hapo shuleni kwa ajili ya kuwapongeza wanafunzi walifanya vizuri katika mithiani yao ya kidato cha sita kwa kupata alama A kwa wanafunzi 23 nao wanaofadhiliwa na kampuni hiyo ya Afrikani barrick gold mine.
Baadhi ya wanafunzi ambao walipata alama A wakipata vitafunwa shule hapo .
Mwalimu mkuu wa shule ya mwendakuli Diana kuboja akiwa katika bago la kampuni ya africani barrick gold mine katika shule yao baadha ya kupongezwa kwa wanafunzi wa kidato cha sita kwa kufanya vizuri mithiani yao .
Hawa ndiyo vinara wa shule ya mwendakulima ambao wamefanya vizuri katika mithiani yao ya kidato cha sita .
Mkuu wa kitengo cha sheri wa AGB Afrikani gold mine katrine white pia ni mfadhili wa mradi wa can educate wa shule ya mwendakulima akiwapa pongezi wasichana walifanya vizuri katika mithiani yao ya kidato cha sita mwaka jana .
Meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu mwenye miwani na kati ni Afisa Elimu Richard msagati na kulia ni Anna magesa wakiwa wakisikiliza mkuu wa kitengo cha sheria bi katrine white wakati hakitoa pongezi kwa wanafunzi walifanya vizuri katika mithiani yao ya kidato cha sita mwaka jana .
Chukua dada hogera kwa kufanya vizuri ni moja wa wafanyakazi wa buzwagi akipatia moja ya mwanafunzi sahani ya chakula .
Baadhi ya wanafunzi wa mwendakuli ambao nao wanatarajia mwakani kufanya vizuri kupita hao dada zao waliomaliza vizuri kwa heshima kubwa..
Hongera sana haya ni maneno ya mama Anna magesa akipatia mkono moja ya wanafunzi walifanya vizuri .
chukua tu ndiyo maneno ya mfanyakazi wa buzwagi wakiwakaribisha chakula wanafunzi hao kwa kula pamoja na kartine white katika ukumbi wa shuleni hapo .
picha ya pamoja na bi katrine white na walimu ambao wanafundisha kidato cha sita kwa kufanya vizuri .
Hawa ndiyo walioipatia heshima shule ya kata ya mwendakulima mwaka jana kwa kushika nafasi ya kwanza kanda ya ziwa na kitaifa nafasi ya 9 kati ya shule 1,8696.
karibuni shuleni
Hiki ndiyo kikombe cha kunywaa chai walipewa walimu kwa kufanya vizuri pia kikombe hiki kina ragi ya blue kikiwekewa maji ya moto kinakuwa na ragi nyeupe kama hunavyonekana hapo .
Hichi kikombe cha maajabu ambacho kimetolewa na Afrikani barrick Gold mine kwa walimu waliokuwa wanawafundisha wanafunzi walifanya vizuri .
Mwalimu kuu msadizi sonda s sonda akitoa shukrani kwa uongozi wa Afrikani barrick gold mine kwa kuifadhili shule yao hii ya kata na kupata heshima kubwa .
pokea zawadi ya dola mia kwa kufanya vizuri toka katika mradi wa can educate
Meneja wa mgodi wa buzwagi Filbert Rweyemamu akitoa shukrani kwa bi katrine white kwa kuhifadhili shule hiyo.
Bi katrine white akitoa neno la shukrani kwa walimu na uongozi wa shule hiyo kwa kuipa heshima kubwa kwa kufanya vizuri katika masomo yao .
Hogera sana hayo ni maneno ya mkuu wa kitengo cha sheri cha ABG Afrikani barrick gold mine .
Moja ya wanafunzi Theresia maziku wakitoa shukrani kwa bin katrine kwa misada yao ambayo wameweza kufanya vizuri katika mihtiani yao na kuomba mradi huu wa can educate kusaidi zaidi kwa watoto wengine wasiyo na uwenzo .
Mama Anna Magesa akitoa neno la shukrani
Mkuu wa shule ya mwendakulima Diana kuboja akitoa neno la shukrani kwa uongozi wa mgodi wa buzwagi kwa misanda yao mingi katika shule yetu tunaomba muendelea na moyo huo .
No comments: