Baadhi ya waandisha wa habari wa vyomba mbalimbali wakati gari lao lipopata hitilifu kidogo za umeme .
Hii ndiyo ofisi ya mtendaji wa kijiji cha igwamanoni kata ya bugara hawa ni baadhi ya wana habari wakiingia ndani ya ofisi hiyo ya
Baadhi ya viongozi wa vijiji ,vitongoji na kata ni chanzo cha
kuwepo kwa mimba na ndoa za utotoni kwa madai ya kuwalinda watuhimiwa.
Hayo yalisemwa na Mwenyekiti wa kitongoji cha miembeni kata
ya Bulyhanulu Yohana kalamela, wilayani
kahama mkoani shinyanga.
Hayo hayalisema wakati akiongea na wandishi wa habari
waliotembelea kata hiyo kujionetatizo la mimba na ndoa za utotoni .kwa kupitia
mradi wa wanaume na wavulana (Men Engage) toka shirika la care Intenational.
Mwenyekiti Yohana alisema tatizo la mimba katika umri mdogo
limekuwa likisababishwa na baadhi ya viongozi wa serikali walipewa dhamana na
wanachini katika ,ngazi za vijiji vitongoji katika kata ya bulyahnulu ambao
huwakingia kifua na kuwatorosha .
Aidha kwa upande wake muamashiji wa kupinga ndoa za utotoni
na mimba kata ya bulyahnulu na pia ni kamanda wa sungusungu shabri
alisema kuwa watuhumiwa
wakikamatwa baadhi ya viongozi wakiwalinda watuhumiwa na kuwatorosha.
No comments: