Jeshi
la polisi limeimalisha ulinzi katika maeneo yote ambayo yalitajwa na
chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa ndiyo watapitia
wakiandamana kwenda kwenda Bungeni kuanzia saa 4 asubuhi ya leo
Polisi
wakiwa wamefunga kamba kati barabara ya mzunguko ya stendi kuu ya
mabasi yaendayo mikoani na chuo cha biashara CBE kwaajili ya kuwazuia
waandamanaji hao waliopanga kwenda Bungeni
Polisi
wapanda farasi wakiimalisha ulinzi katika viwanja vya nyerere Squere
ambapo Chadema wamepanga kuanzia maandamano kuelekea bungeni.
Askali
polisi wakiwafanya mawasiliano kwenye gari lao ambalo
lilikuwa limepakia mbwa kwa ajili ya kuimalisha ulinzi katika viwanja
vya Nyerere Dodoma kwa ajili ya kuwazuia waandamanaji wa Chadema
walipanga kuandamana kwenda Bungeni.
Hivi ndivyo hali ilivyokuwa Dodoma kila kona ulinzi
No comments: