HIVI NDIYO AJALI ILIVYOTOKEA MAENEO YA SABASABA MUSOMA KURADHI KWA PICHA HIZI
HILI GALI DOGO NDIYO CHANZO CHA AJALI LIKITOLEWA ENEO LA SABABASA, WICHI IKILIOPOA GALI LILO NDUBUKIA MTONI .
HILI NDIYO BASI LA J4 LIKIONEKANE KWA UPANDE WA KULIA BAADA YA KUPATA AJALI .
BAADHI YA WANANCHI WAKILIANGALIA BASI J4 EXPRESS
BAADHI YA MAITI ZA KINAMAMA ZIKIWA ZIMEFUNIKWA BAADA YA AJALI KUTOKEA
HUU NDIYO MUONEKANO WA AJALI ILITOKEA MAENEO LA SABASABA MKOANI MARA
MAITI ZA WATU WAWILI ZIKIWA ZIMENINIA JUU YA VITI VYA BASI LA MWANZA COACH.
BAADHI YA ASKARI POLISI WAKIWA KATIKA ULINZI WA MALI ZA WATU WALIPATA AJALI ENEO LA TUKIO.
WATOA HUDUMA MANESI WAKIWA ENEO LA TUKIO KWA KUTOA HUDUMA YA KWANZA .
ASKARI POLISI AKIWA KATIKA ULINZI WA MALI ZA WATU
HIVI NDIYO HALI ILIVYOKUWA KATIKA AJALI HIYO MBAYA AMBAPO TAKRIBANI ZAIDI YA WATU 38 WAMEPOTEZA MAISHA YAO .
WANANCHI WA SABASABA WAKIWA HAWAMINI AJALI HIYO ILIVYOKUWA MBAYA KATIKA MKOA WA MARA .
No comments: