Kijana moja ambaye amejulika kwa jina la Rajabu juma mkazi wa kijiji cha malungu Wilayani kahama mkoani shinyanga anusurika kufa kwa kuchomwa na moto kwa wizi wa mageti ya milango ya chuma .
Hivi ndiyo hali ilikuta kijana huyu Rajabu .
Hapo hakiwa tabani katika gari la polisi juu lipo geti la nyumba ambalo inasemekana ndiyo lilotaka kupeleka roho yake hahela .
Hapa hakiwa tabani baada ya moto kumuunguza nusu ya mwili wake wote hakiwa juu ya gari la polisi ambapo walimkoa katika moto huu .
Ndani ya gari la polisi hoi.
Maneno yake jamaa mimi sijaimba hiyo milango ya chuma .
Hatari sana wizi .
jamaani mimi sijaimba hiyo milango .
No comments: