sponsor

sponsor

Slider

Theme images by kelvinjay. Powered by Blogger.

Kimataifa Habari

habari

Habari Za Mastaa

Michezo

simulizi za kusisimua

» »Unlabelled » TIGO YATIA FOLA KAHAMA WATU WAJAA UWANJANI KUNUNUA CARD ZA TIGO

 Hivi ndivyo Prf  Joseph mbilinyi  katika uwanja wa taifa kahama wakati wa promoshini ya tigo mjini hapa .
 Prf  j akiwa jukwaani kumburudisha wateja wa tigo mjini kahama .



Hili ndiyo jukwaa kubwa la tigo mjini kahama kabla ya kuanza promosheni yao ya kufunga mwaka .


 huduma za kwanza nazo zilikuwepo kwenye burudani hiyo ya tigo hivi ndiyo watoa huduma ya kwanza ya bakwata Dispensary likiwa limepaki eneo maharumu kwa kazi .
Gari la huduma ya kwanza .



hawa ndiyo wasani wa oringino komedi walikuwepo uwanjani kwa ajili ya burudani .

 mzee wa kuvanga wa oringino komedi wakifanya mambo uwanjani
 wewe chenzea tigo tigo wwwww wacha tu 
 


 mwana dada huyu alijishindia simu ya tigo baada ya kucheza vizuri katika jukwaa la tigo
mwana dada akionyesha vitu vyake .


pokea zawadi yako .


 baadhi ya walida usalama wakiwa makini kwa ajili ya usala katika uwanja huo wa taifa kahama endepo kutatokea vujo zozote wawenze kudhibiti .
 msani wa kikudi origino komedi marufu kama jot akifanya mambo yake uwanjani
kundi la origino komedi likiwa linaendelea na kutoa burundani .


ni burundani tu 


wewe chenzea komedi na tigo moja ya burundani za kukundi hilo 


 joti akiwa amekaa kwenye spika juu akitoa maneno mazuri kwa wateja tigo mjini kahama .
 burundani mwanzo mwisho .

msani maarufu mwana Fa akiwapa burundani wateja wa vtigo 


 Mwa FA akiimba nyimbo zake mbalimbali za zamani katika uwanja wa taifa mjini kahama
 masanja mgandamizaji akitoa burundani uwanjani .
masanja akiimba 


 Prf j akiimba uwanja huku wateja wa tigo wakipata faraja .
 mc akiendelea kuwapa mambo ya tigo wakazi wa mji wa kahama .endelea kuangali picha mbalimbali za matukio ya tigo mjni kahama









hata hivyo moja ya mzazi katika burundani hiyo alipoteza mtoto kama jinsi anavyonekana hapo jukwaani 










«
Next
Newer Post
»
Previous
Older Post

No comments:

Leave a Reply