Gari ndogo ya binafsi ikiwa
nyang'a nyang'a na kusababisha watu wawili kupoteza maisha
Taarifa
za awali zinasema chanzo cha ajali hiyo ni pamoja na speed ya gari dogo lakini
mvua ilikuwa kubwa kiasi cha barabara kujaa maji na kusababisha gari ndogo
kugongana na lori la miziogo.
Ajali iliyohusisha magari mawili imesababisha
waliokuwa kwenye gari dogo kupoteza maisha maeneo ya Nzega mkoani Tabora
No comments: