Bi Lawaridi sadi (46)akiwa kituo cha polisi mkoani singida kwa kosa la kutupa mtoto kwenye basi basi ililolilikuwa likielekea mkoani kigoma
Madaktali wakiwa katika jitihada za kuokoa maisha ya mtoto mayasa meshack ambaye bibi yake alimtupa dirishani huku basi ilikiwa katika mwendo
Katika hali
isiyo kuwa ya kawaida mama moja aliye kuwa akisafiri na mtoto wake mmoja
na wajukuu zake wawili, aliamua kumtupa mjukuu wake wa miaka sita dirishani
huku basi likiwa katika mwendo kasi na kusababisha kifo chake baada ya
kufikishwa katika hospitali ya mkoa wa Singida.
Akithibitisha
kutokea kwa tukio hilo kamanda wa jeshi la polisi mkoani Singida ACP Thobias
Sedoyeka, amesema mama huyo aliye tambulika kwa jina la Lawaridi Saidi mweye
umri wa miaka 46 aliyekuwa akisafiri na basi namba T 981 ALS kampuni ya Salumu
Clasc lilokuwa likitokea Dar-es-salaam na kuelekea Kigoma.
Amesema alipofika katika kijiji cha Iguguno wilaya ya Mkalama
siku ya tarehe 18/12/2014 saa 2 usiku alimtupa mjukuu wake Mayasa Meshack
dirisani huku basi likiwa katika mwendo kasi.
Tayari jeshi la polisi mkoani Singida linamshikilia mwanamke huyo.

Mganga wa zamu katika Hospitali ya Mkoa wa Singida Dkt
Adamu Hussen amesema alimpoke mtoto akiwa katika hali mbaya
akiwa hapumui vizuri na damu ilikuwa ikimtoka masikioni na
baada ya kumpatia matibabu alilazwa na siku ya pili alifariki dunia
kutokana na kupasuka kwa fuvu la kichwa.
Akieleza jinsi
alivyo mtupa mjukuu waka,Lawaridi Saidi ambaye ni mkazi wa K ongowe
jijini Dar es salaam amesema baada ya kuamka akiwa katika hali ya
usingizi alijikuta akimchukua mjukuu wake Mayasa na kumtupa dirishani na
hatimaye abiria wakaanza kumpiga na kuamuru basi lisimame na kumchukua
mtoto huyo.

No comments: